Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

County inaongozwa na gavana plus kw usaidizi wa (MCAs)wabunge katika bunge la county linaloongozwa na spika wa county..
County pia ina wizara zake kw mfano kuna waziri wa fedha pia katika county na wengine wengi tu.

Pia vile vile county imegawanywa into sub counties ambazo ni maeneo bunge na wabunge watakaochaguliwa watayawakilisha maeneo bunge yao(sub counties) katika bunge kuu la kitaifa, senate yeye huaga anaiwakilisha county yote kw ujumla katika bunge la senti la kitaifa..
Kwhyo ukitaka ufafanuzi zaidi ni PM
On Nairobi, it is a county by itself, though Nairobi as a metro in it has parts of Kiambu county meaneo kama ya Two Rivers mall na Tatu City no Kiambu county but still ni part of Nairobi Metropolitan, areas of Machakos; Syokimau, Mlolongo, Athi River, Kitengela, several parts of Kajiado county pia ni Nairobi metro; parts of Ngong along Ngong road,
 
na hzo project zina miaka zaidi ya 10 ndio hayo mabanda anayoonesha humu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ukiangakia render zake hata ukucha hawajafkia
Povuuuu., check youtube ujionee kisha ujinyonge., pictures are limiting. Progress ni progress ata kama ni 1%๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, ile yenu ilifika wapi?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Wakenya mnajisikiaje mkiona hv
tapatalk_1602839517811.jpeg
tapatalk_1602878724420.jpeg
tapatalk_1602839515296.jpeg
tapatalk_1602839318855.jpeg
 
Imagin nothing at all! I know vile Ethiopia wameteseka na yao ya Umeme. Will know hii yenu ikianza kazi, especially freight. Wish u the best.
Huna lolote eti wish u the best at hapo hapo unatuombea mabaya, kwa taarifa yako Tz haijawahi kukosea kabisa
 
Now naangalia game ya man utd baada ya hapo km kawaida mida yangu ile napiga sindano mpk basi nakusubiri Teargass au mkunya yoyote atayekuwa online mda huo nijilie tigo mpk saa 8 zen nalala
 
Weeiiiishhhh wanaumia sn walidhani tunatania, I can't wait vile Wakenya wanasubiri kwa hamu sgr yetu ikifeli km yao. Yn Tz kiboko imechapa kenya kivyote kuanzia jeshi, afya, maji, road networks, et al,...

Lets be fair this
Ej-AXr9X0AEJ2iz


VS

This
2592909_tapatalk_1602839318855.jpeg


2592907_tapatalk_1602839515296.jpeg


EkdxQDGWkAAfuij


Which one is superior? Angalia continuous welded, communication towers, overhead catrige, kitu levelled, mifereji both sides na mpaka milimani! The grass the ways the mountains have been carved to give a way for the line! It's just splendid environmental conservation at heart!

CC: Tony254
 

Attachments

  • FB_IMG_1602328409730.jpg
    FB_IMG_1602328409730.jpg
    69.5 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1602328266760.jpg
    FB_IMG_1602328266760.jpg
    33.5 KB · Views: 1
wewe falamanga ni kipofu huoni net interest income highlighted red! NMB Bank gets over $90 mln as yearly net income! While ur uchwara media indicated $65 mln! N CRDB gets over $70 mln as yearly net income! BTW where is TBL Tanzania?
bado makampuni kibao hapo yakina mo na bakharesa na nyinginezo,,,,,,,
wakenya ni washamba sana
 
bado makampuni kibao hapo yakina mo na bakharesa na nyinginezo,,,,,,,
wakenya ni washamba sana
Haijalishi ata kama ni za akin Azam, Abdul, babu wa loliondo, weka list and their value and annual returns! Kuna several credible sources be my guest wacha blah blah blah!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom