joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Naomba uniwekee link kama hii inayoonyesha KDF wanazo fighter jets 7, nifunge akaunti, hutoniona tena hapaNataka tusonge tu pole pole. Tuanze na hizi na uniambie ziko ngapi.
View attachment 1602485
hii ndio next level?DAR NI TAKATAKA TU KAMA TAKATAKA ZINGINE ..DAR KUMI NDO INAWEZA KUWA NAIROBI MOJA..
UKWELI NI KWAMBA SISI HATUNA JIJI LA KUFANANISHA NA NAIROBI.
HATUNA.
NAIROBI NI NEXT LEVEL.
Yaani huu uchafu ndio ufanye tukumind? We Dada Em jisikie aibuTANZANIA BADO SANA KUISHINDA KENYA.
๐๐๐๐๐
KAMA UMEMIND MEZA WEMBE.
Hizi picha zimefanya Wakenya wasiongelee sgr tenaa, ni km zile picha za H225 zilifanya Teargass aache kuweka mitungi ya jeshi humu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]SGR the beauty [emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji108]
View attachment 1602777View attachment 1602778View attachment 1602779View attachment 1602780
Piga picture unateleza ndani ya hichi chombo kwenye hiyo photogenic sceneries ๐ฅถ๐ฅถ๐ฅถ๐ฅถHizi picha zimefanya Wakenya wasiongelee sgr tenaa, ni km zile picha za H225 zilifanya Teargass aache kuweka mitungi ya jeshi humu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hapo ni jangwani a.k.a bonde la mto msimbazi nyumba zilishavunjwa pia kuna mradi mkubwa unakuja, co makazi ya watu hapo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116][emoji23][emoji23]View attachment 1602863
Sasa ina maana kwa fikra zako finyu Dar is ahead of South African cities because they have such poor zones? Wewe ni fukara wa kimawazo๐๐๐ Dar is better than Manila, Sao Paulo na Jozi combined yet low life poor auality residential ni 80%+.,Yaani huu uchafu ndio ufanye tukumind? We Dada Em jisikie aibu
View attachment 1602784View attachment 1602785View attachment 1602786
Wivu itakunyonga babu! Tanzania hamna huo uwezo ama nyie wachoyo kishenzi๐๐ next door neighbour u cant assist ata kusema pole ni balaa! No wonder u have no meaningful progress with trickle down effect at all, only propaganda to hoodwink the public yet multidimentional poverty prevails!