ππππππ soma hapa nigeria alikua na percentage ngap na sisi tumefika ngapi na bahat nzuri huwez danganya u know y some of money for REA project from world bank sasa utadanganya nnKwa hio link uliyonipa, kumbe ni Dr Kalemani ndio amesema kuwa TZ ni ya kwanza. Nilidhani ni world bank au IMF. Au angalau hata TZ bureau of statistics. Lakini mwanasiasa?
Wewe mbuzi unajajua maana ya official source kweli? Official source ni primary source, in other terms, mwenye alifanya ranking. Sasa ebu leta source kutoka kwa mwenye alifanya ranking I want to see the list of all 54 African countries.people article we mbuzi kweli nakupa official source unasema article πππ
Unastahili kufahamu kuwa WB huwa wanachukua statistics kutoka KNBS na saa zingine WB huwa wapo nyuma kidogo ku- update records zao. Unastahili kucompare records za WB 2017 na 2019 au uamue kucompare records za KNBS 2017 na 2019 lakini umavi uliyofanya wewe ni ( kuchangaya sources) kucompare WB 2017 na KNBS 2019 ni upuuzi mtupu.2017 according to world bank mlikua na 11000km na link zimewekwa humu so 2019 tayari muna 21000km manake in two yrs mumejenga 10000km ndio nchi pekee duniani kujenga 10000km in two years πππππππ
Kwani hawezi kuongea kistaarabu Au alitaka ilo soko lijengwe na nani sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo hajui official source ni nini.Wewe mbuzi unajajua maana ya official source kweli? Official source ni primary source, in other terms, mwenye alifanya ranking. Sasa ebu leta source kutoka kwa mwenye alifanya ranking I want to see the list of all 54 African countries.
according to statistics 2015 mambo yalikua hvi πππππKwa hio link uliyonipa, kumbe ni Dr Kalemani ndio amesema kuwa TZ ni ya kwanza. Nilidhani ni world bank au IMF. Au angalau hata TZ bureau of statistics. Lakini mwanasiasa?
So 2018 Nigeria waliongoza Africa in electrification with an average of 56% connectivity rate? π€£ π€£ππππππ soma hapa nigeria alikua na percentage ngap na sisi tumefika ngapi na bahat nzuri huwez danganya u know y some of money for REA project from world bank sasa utadanganya nn
anaejua ni nyanya yako labda ππππHuyo hajui official source ni nini.
in 2020 nigeria alikua 72% hapa tunaongelea 2020ππππππSo 2018 Nigeria waliongoza Africa in electrification with an average of 56% connectivity rate? π€£ π€£
Access to electricity (% of population) - Sub-Saharan Africa, Nigeria | Data
according to statistics 2015 mambo yalikua hvi πππππ
alipoingia magufuli mambo yalibadilika sana jamaa kaekeza pesa nyingi kwenye umeme
View attachment 1601888
πππππ mtu hakubali lakini ndio ukweli na hawez badilisha hapa wamebakia kurusha ngumi za hewani tunakumbuka hizi stats zilivyotoka Wakenya walikuwa wa kwanza kuzigomea!
Do you know the meaning of initially? Initially inammanisha "at first" loosely translated to before 2019. So before 2019 was 2018, and Nigeria had 56% in 2018.in 2020 nigeria alikua 72% hapa tunaongelea 2020ππππππ
View attachment 1601890
Wacha mchezo bwana. Mimi nadeal na official sources tu. Hii upuzi ya kuweka maneno ya mwanasiasa kama evidence ni mchezo. Kuwa serious. Weka data kutoka TZ bureau of statistics, au TZ ministry of planning au World Bank au IMF au UN. Either report kutoka serikali yenu au WB au IMFππππππ soma hapa nigeria alikua na percentage ngap na sisi tumefika ngapi na bahat nzuri huwez danganya u know y some of money for REA project from world bank sasa utadanganya nn
Kumbe unaelewa maana ya neno "official source." Sasa leta kama hii uliyopost inayoonyesha kuwa electrification rate ya TZ ni 84%. Lazima iwe kwenye report, sio maneno ya mwanasiasa.according to statistics 2015 mambo yalikua hvi πππππ
alipoingia magufuli mambo yalibadilika sana jamaa kaekeza pesa nyingi kwenye umeme
View attachment 1601888
Ndio WB data zao hizi hapa π€£π€£π€£π€£Unastahili kufahamu kuwa WB huwa wanachukua statistics kutoka KNBS na saa zingine WB huwa wapo nyuma kidogo ku- update records zao. Unastahili kucompare records za WB 2017 na 2019 au uamue kucompare records za KNBS 2017 na 2019 lakini umavi uliyofanya wewe ni ( kuchangaya sources) kucompare WB 2017 na KNBS 2019 ni upuuzi mtupu.
Hii report imetolewa na body gani?Ndio WB data zao hizi hapa π€£π€£π€£π€£
Hamtanasuka kwenye kilometres 11k wala 88% ya Kenya ni giza totoro π€£π€£π€£π€£π€£
View attachment 1601894View attachment 1601896
Mwaka jana waziri wetu wa fedha alitangulia kusema kwamba Tanzania tumeshaingia uchumi wakati kutokana na hesabu zetu hapa wizarani, wakenya walicheka na kubeza, miezi sita baadae WB ikatangaza rasminakumbuka hizi stats zilivyotoka Wakenya walikuwa wa kwanza kuzigomea!
wapi demarcation? Road signs?
mm nakuletea 2020 official utake usitake ππππππππKumbe unaelewa maana ya neno "official source." Sasa leta kama hii uliyopost inayoonyesha kuwa electrification rate ya TZ ni 84%. Lazima iwe kwenye report, sio maneno ya mwanasiasa.