Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

so survey ndio yenye mamlaka au sio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
KNBS (Kenya national bureau of statistics) ndio ina mamlaka ya kutoa statistics za serikali. KNBS inatoa statistics zake kutoka kwa hizi bodies nne nilizokuambia. Sasa wewe umechukua statistics za Kenha na ukasahau kujumlisha na lami zilizojengwa na mamlaka nyingine kama KURA (urban roads).
 
Jibu swali. Hio 2.7m inahesabu vijiji tu au inahesabu hata nyumba moja moja.
soma maelezo nakuekea link manake usome sio uhadithiweπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
hii ni rural alone
 
hahahhahaha so mumejenga 10000km within two yrs ni sawa ?????πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
nikujibu nn wakat source zaidi 30 zinaongelea pamoja kwan hao ni wajinga hawana akili na unjua kesi ya kuweka fake news ????πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nani alifanya ranking? Which position was South Africa that has a 91% connectivity rate? What about Seicheles which also have a 100% connectivity rate? Ama they were disqualified from the ranking? 🀣 🀣 🀣
 
muishkuru sana jamii forum wallah imewafungua sana akili na macho na hili najua unalijua fika ndani ya moyo wako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nani alifanya ranking? Which position was South Africa that has a 91% connectivity rate? What about Seicheles which also have a 100% connectivity rate? Ama they were disqualified from the ranking? 🀣 🀣 🀣
nimekupa sourcw zaidi ya 30 na zote ni official za nchi tofaut tofaut bado unataka kubishana na facts kwamba ww ndio utageuza hzo facts kua uongo au?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mm nakwambia hata uvae sidiria sasa hvi ukweli hautabadilika
 
simple and clear tena washaweka mpaka kwenye percentage it means hesabu ishafanyika sasa ww kuskia tanzania ina 84% unashtuka nn πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
View attachment 1601873
Wewe najua hesabu ndio inakuanga shida kwako 🀣 🀣 🀣 Those 63% of households represents the 5.9 million connected customers as of 2017. Sasa wewe ebu tuambie venye 2.7m customers inarepresent 84?🀣🀣🀣
 
nimekupa sourcw zaidi ya 30 na zote ni official za nchi tofaut tofaut bado unataka kubishana na facts kwamba ww ndio utageuza hzo facts kua uongo au?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mm nakwambia hata uvae sidiria sasa hvi ukweli hautabadilika
Those are just peoples article venye mimi pia naezaamua kuandika kuwa Tanzania leads the world in electrification 🀣 🀣 Is this the same Nigeria hizo sources zako zimeandika kuwa ilikuwa top in 2018? 🀣 🀣 🀣
Access to electricity (% of population) - Sub-Saharan Africa, Nigeria | Data
 
Sielewi unamaanisha nini.
2017 according to world bank mlikua na 11000km na link zimewekwa humu so 2019 tayari muna 21000km manake in two yrs mumejenga 10000km ndio nchi pekee duniani kujenga 10000km in two years πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
2017 according to world bank mlikua na 11000km na link zimewekwa humu so 2019 tayari muna 21000km manake in two yrs mumejenga 10000km ndio nchi pekee duniani kujenga 10000km in two years [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwaka 1978 walikuwa na 7,000 halafu mwaka 2017 wakawa na 11,000 kukiwa na maaana waliongeza 4,000 tu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Those are just peoples article venye mimi pia naezaamua kuandika kuwa Tanzania leads the world in electrification 🀣 🀣 🀣
people article we mbuzi kweli nakupa official source unasema article πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
nimekupa sourcw zaidi ya 30 na zote ni official za nchi tofaut tofaut bado unataka kubishana na facts kwamba ww ndio utageuza hzo facts kua uongo au?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mm nakwambia hata uvae sidiria sasa hvi ukweli hautabadilika
Kwa hio link uliyonipa, kumbe ni Dr Kalemani ndio amesema kuwa TZ ni ya kwanza. Nilidhani ni world bank au IMF. Au angalau hata TZ bureau of statistics. Lakini mwanasiasa?
 
Wewe najua hesabu ndio inakuanga shida kwako 🀣 🀣 🀣 Those 63% of households represents the 5.9 million connected customers as of 2017. Sasa wewe ebu tuambie venye 2.7m customers inarepresent 84?🀣🀣🀣
70% kenya against 84% tanzania bado munashindana nn πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Kwa hio link uliyonipa, kumbe ni Dr Kalemani ndio amesema kuwa TZ ni ya kwanza. Nilidhani ni world bank au IMF. Au angalau hata TZ bureau of statistics. Lakini mwanasiasa?
Mmezoea kuongopewa na wanasiasa wenu hadi mnaona kila nchi huwa wanadanganywa kama nyie [emoji23][emoji23][emoji23]

Mnatia huruma mnoo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…