Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Asante kwa kugundua kuwa screenshot ya huyo mwenzako ni fake.
 
Mbona pia kw urefu wa pila hujasema, manake kw render hamjasema..
Mchina ameshawaona nyinyi mapimbi...Unapo ona pillar ya flyover imekuwa ndefu Sana jua Kuna intersection inataka kuivuka...Ndo maana nikasema haitokuwa na more than 3 kms..🤣🤣🤣
 
Mchina ameshawaona nyinyi mapimbi...Unapo ona pillar ya flyover imekuwa ndefu Sana jua Kuna intersection inataka kuivuka...Ndo maana nikasema haitokuwa na more than 3 kms..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Endelea kusema tu
 
County zetu ni 47 tutajie county kumi ambazo hazijaungwa na lami
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…