Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Another huge road coming up, this is western bypass. Expressway na hii zitashikana so that when you finished enjoying the comfort of expressway unaland kwa western bypass.
 
Another huge road coming up, this is western bypass. Expressway na hii zitashikana so that when you finished enjoying the comfort of expressway unaland kwa western bypass.
View attachment 1599670View attachment 1599671
Kwenye swala la barabara Kenya kaaeni Kimia...Upele umepata mkunaji huku Tanzania...Kila Kona ya nchi Ni ujenzi wa Barabara...Natukimaliza kampeni kazi kubwa atakayo kuwa Magufuli Ni kuzindua Miradi Mipya na ambayo iliokamilika...Tulieni sindano ziwaingie..
 
Tanzania, 12,000km za lami.
Kenya, 21,000km za lami
 
Mombasa port. Hapana cheza na sisi Geza Ulole. Mizigo inapakuliwa directly kutoka kwenye meli hadi kwenye Sgr kisha treni inawasili Nairobi in 8 hours. Weka picha ya Dar port kama hii yenye meli na treni katika picha moja. Hamna picha kama hii nyie Malazy. Ehehehe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…