The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Teargass Nicxie [emoji121][emoji121] msijifanye hamuoni[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]I challenge Mkenya Anioneshe auditorium kama hii..Kenya huko View attachment 1597722View attachment 1597724
I challenge Mkenya Anioneshe auditorium kama hii..Kenya huko View attachment 1597722View attachment 1597724
Ukiniposyia picha za hizi vitu tatu nahama jfKilio hakitasaidia bali facts, narudia tena hamna infrastructure zipo Nairobi ikakosekana Dar ila kuna infrastructure zipo Dar huwezi kuta kenya nzima, poleni sana Wakenya [emoji3][emoji3][emoji3]
Hapana, inaweza tumia hata tent na iitwe ya kisasa 😂hvi ww unaushamba sana naona 😀😀 kwani ni lazma indoor arena itumie matofauli
wakenya munamatatizo ya ubongo au
Does that change the fact that it's in Kenya?Thubutu...! Auditorium nzuri zilizopo Kenya ni zile za private kama ya East africa Catholic University!
moja ya wapo hii hapa aliewaambia kua indoor arena lazma iwe ya matofali mtafuteni awatoe uzezeta huo👇👇😂Wapi indoor arena ya Tanzania? 🤣 🤣
nani aliewaambia arena lzma iwe ya matofali huyo nani aliwaambia mbona kenyatta international airport kuna tents so hapo hamuiti airport au???😂😂😂Hapana, inaweza tumia hata tent na iitwe ya kisasa 😂
Aliyekuambia sisi hatuna ya reli Ni nani? Nimekuuliza uniletee ya barabara, sio reliTunazo za reli
anaelewa jengo la matofali pekee 😂😂😂Kwani we ukisikia neno "indoor arena" kichwani mwako unaelewa nini?
Mkuu kinachowasumbua wakunya siku zote ni elimu ya kukariri.U Kenyans are very stupid, hz zinaitwaje [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1597701View attachment 1597702View attachment 1597703View attachment 1597704View attachment 1597705View attachment 1597706
sawa hongera sana bangi unazovuta ni nzuri sana endelea kuvuta masakuuZote ni club.[emoji1787][emoji1787]
so arena lamza iwe na matofali ???Stop avoiding the question: Tangu lini tent ikaitwa indoor arena?
Ulisema underpass sahv umehamisha goliAliyekuambia sisi hatuna ya reli Ni nani? Nimekuuliza uniletee ya barabara, sio reli
Challenge Accepted.I challenge Mkenya Anioneshe auditorium kama hii..Kenya huko View attachment 1597722View attachment 1597724
Those are elevated roads KijanaUlisema underpass sahv umehamisha goli
No ni hii[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Unamaanisha hii? View attachment 1597732View attachment 1597735
Sawa weka tufanye comparison [emoji3][emoji3]Does that change the fact that it's in Kenya?
Hiyo ni Indoor Arena au Kanisa?Wapi indoor arena ya Tanzania? 🤣 🤣
Okay ..nmeona mnayo Naironi theatre kama sikosei imekuwa renovated juzi juzi