Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Plus this is the roof ya Next door arena..sio hata tent....the material is used to reduce heat
Hio ya blue ni Next door arena...na Hapo kwenye point ni Club Next Door
Screenshot_20201012-125408.jpg
 
kwan unafkiri kwann mchina kawaletea treni za miak 100 iliopita, mchina sio mjinga anakujengea kitu kutokana na akili yako tu[emoji23][emoji23][emoji23] na hajui kama arena hii inayojengwa ni steel structure
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
SGR wanajenga underpass kibao...Sasa huwa najiuliza wa Kenya elimu yao iliwasaidia Nini kutokujua maana ya underpass....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mkenya ni bogus siku zote yaani hawajui maana ya indoor arena pia hawajui maana ya underpass nimecheka sana leo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom