Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The Clouds though!

IMG_2453.jpg

IMG_2454.jpg

IMG_2455.jpg

IMG_2456.jpg
 
kila kitu chuki unafkiri chuki ndio itawasaidia kufikia hadhi ya hicho chuki 😂😂 katika wakenya waliobaki na ujinga ni ww
Umejua ujajibu swali, nimekuuliza hicho chuo kiko na nini cha maana. Instead of answering me wewe ushaanza kulia.
 
kila kitu chuki unafkiri chuki ndio itawasaidia kufikia hadhi ya hicho chuo[emoji23] katika wakenya waliobaki na ujinga ni ww
Atakuambia wao walishakuwa nacho miaka 10 zilizopita, mwambie akuletee anakuletea JKU ambacho hakiwezi fikia hata Mzumbe au Sokoine hao ndiyo Wakenya wa humu Jf [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Atakuambia wao walishakuwa nacho miaka 10 zilizopita, mwambie akuletee anakuletea JKU ambacho hakiwezi fikia hata Mzumbe au Sokoine hao ndiyo Wakenya wa humu Jf [emoji3][emoji3][emoji3]
subutu yake atafute chuo kenya nzima chenye hadhi hio mm nafunga acc jamii forum, miaka hairudi nyuma inasonga mbele 😀😀😀
 
Hicho chuo kina quality ya vyuo vikuu vya developed countries mbuzi ww, uwe mstaarabu km Wakenya wenzako waliostaarabika kina tony254.
Quality ya nini? Cause kama ni buildings hakuna tofauti kati yake na Nyamasaria Primary school in Kisumu. What quality are you talking about?
 
Unaonekana mjinga kubisha bisha kila kitu, let me give you a homework tafuta kenya nzima lete university inayokaribiana na hyo zen njoo tulinganishe.
Inakaribia in what terms? That`s what I want you to tell me. Juu mimi sijaona kitu cha maana hapo.
 
Quality ya nini? Cause kama ni buildings hakuna tofauti kati yake na Nyamasaria Primary school in Kisumu. What quality are you talking about?
Hahahaaa, denial haitakusaidia chochote hayo maumivu uliyonayo jitahidi usihame Jf bado tuna jambo letu dhidi ya kenya.

Mind u, hicho chuo kimejengwa na vyama 6 vyenye akili Afrika [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom