Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vichaa wawili wanadiscuss
Ina maana huoni uzembe uliofanyika kwenye ujenzi wa hiyo barabara pamoja na hizo kuta za pembeni?

Kama vichaa wanaona halafu wewe mzima huoni wala haihitaji elimu kubwa kutambua nani ni kichaa tena hata ambaye hajasoma anaweza tambua nani ana akili timamu na nani ni kichaa.
 
During construction anything can happen, the wall can collapse plus many other things. What matters is the final output.
 
Yah ni barabara safi au we unaonaje we sema tu me ntatekeleza.
Ok, I just wanted you to confirm. Let`s go.
DUD_wupWsAE4SmH.jpg
Msa-rd-Namanga-rd-interchange.jpeg
 
Unajua wabongo(watanzania) tunashida (sijui niite shida au niiwekeje hii) moja inayotusababiisha mpka leo hii tunabishana na kenya kuhusu kijiji chao kile,vs dar es salaam..
Shida yenyewe ni pale ambapo tuna chukulia kila kitu simple namaanisha bongo leo hata ikitokea tukajenga jengo refu duniani hutaona kelele kwenye mitandao ata kwenye list nying za internet itakua ngumu kufika mpka muda upite au wao wenyewe washoboke lakini ndugu zetu wakijenga choo cha shule utasikia best in east and central, wakichimba shimo la maji machafu best in east and central na wanakaza shingo kama huwajui utazani kweli,, so kupitia iyo situation dunia inawaona ni bora kweli kwa sababu ya ilo neno lao la best in east and central. Natoa mifano michache hapa vhini. (bashiru alisema uongo ukiimbwa sana unakua ukweli na kenya wanatumia vizuri hii kauli na inawasaidia.)

Mlimani city..
Ivi kweli mlimani city yote ina 30k msqure yani unanambia ina urefu wa mita 200 na upana wa 150 by sketching?? Seriously?? Ingekua kenya mpaka parking na kila sehemu pale ingehesabiwa then waje na big in east and central ila ukweli ni kwamba lile jengo kama jengo( tena jengo 1) ndo lina square 30k yani hactre 3 ila mlimani city yote pamoja nao office zake na ukumbi parking na kila kitu ina square mita zisizopungua 200k.
yet bado hatusemi big in Africa.

Skyscrappers..
Ukiwasikia wakenya wanaongelea majengo marefu utazani wanamiliki newyork au labda paris. But ngoja nikwambie kitu mpka mwaka 2019 dar es salaam lilikwa jiji la pili kwa kuwa na skycrappers nyingi sub sahara africa baada ya johnsbg ambapo kwa namba dar ilikua na skyscrapers 3 za 150m+nyuma ya jhnsbg amabayo ilikua na majengo marefu ya 100+m yalikua 17, 150+m yalikua 4 na 200+m yalikua 2.. na dar es salaam ambao tunafuata tulikua na 100+m yalikua 8, 150+m yalikua 3. Hakuna nchinyingine ilikuepo tena katika sub saharan africa.. kiukweli watz hatukuongea na bado hatuongei.

Baada ya hapo kuna nchi zimekamilisha majengo yao wakiwepo kenya na list iko ivi. Still johnesbg anaongoza..
Dar es salaam anafuata tena akiwa na majengo ya 100+m yapo 13. 150+m yapo 4.

Nairobi 100+m yapo 9 150m+ yapo 3 200+m lipo 1.
Hapa pia hatuongei yani tunaonekana kama sisi ndio wanyonge.. kilicho badilika ni kwamba katika skycrapers sasa nairobi amekua wa 3. Baada ya johnsbg na dar.

Wabongo tuwe tuna update mambo yetu inasaidia sana kuongeza utalii.

Kumbuka internationally skycrapper ni jengo lenye urefu wa 150+..

#kuna mambo mengi ila naona bandiko limekua refu nitaongeza kesho nisiwachoshe..
Mtanisamehe sana kwasababu nimeshindwa kupachika picha na link kama source lakn nitajaribu kuweka chini..
Huyu amelewa walai,tangu lini Dar ikawa na skyscrapers nyingi kuliko Nairobi, umechizi,alafu hicho milimani city isijaribu kutaja hapa,mvutio haina kama godowns tu,hope umewahi sikia Two rivers mall,babayao EA
Nairobi imepita Dar kwa mengi..
1.malls
2.industries
3.Banks
4.highways
5.functional SGR
6.Nairobi GDP is bigger than DAR
7.modern and best hospitals
8.Top universities
9.many vehicles
10.modern Towers
11.interchanges & overpass
12. Nairobi stock exchange is bigger than of Dar,does even exists such thing in Dar??
13.golf courses
14.Green and beautiful relaxing gardens
15.Big telecommunications like safaricom
16.luxury estates
17.3 CBDs
18.biggest & busiest Airport
List is endless,, Dar can only kiss Nairobi ass
 
The same road after completion,hahahaha,poleni sana

Before.....
View attachment 1596388

After..
View attachment 1596383
Ukitaka kuelewa nilichoongea kwenye post namba #223901 hiki hapa yani kwa jinsi hii picha inavopostiwa utazani kuna maajabu hii bara bara ni ya kawaida kupita maelezo nadhani infaa kuwa jiji kama mwanza au shinyanga sio dar..

Ukiangalia barabara ya kurasin ni sehemu ya kwenda kutalii uashangae bara bara lakin wabongo nje ya jamii forum hata hawaiongelei.. kenyan bana embu jihesjimuni hii bara bara ni aibu tupu.
images.jpeg

The same road after completion,hahahaha,poleni sana

Before.....
View attachment 1596388

After..
View attachment 1596383
 
Ukitaka kuelewa nilichoongea kwenye post namba #223901 hiki hapa yani kwa jinsi hii picha inavopostiwa utazani kuna maajabu hii bara bara ni ya kawaida kupita maelezo nadhani infaa kuwa jiji kama mwanza au shinyanga sio dar..

Ukiangalia barabara ya kurasin ni sehemu ya kwenda kutalii uashangae bara bara lakin wabongo nje ya jamii forum hata hawaiongelei.. kenyan bana embu jihesjimuni hii bara bara ni aibu tupu.View attachment 1596409
Sasa hii inanini cha maajabu kwa sisi sana Nairobi tumezoea had I underpass na flyovers
images - 2020-07-30T152909.343.jpeg
 
Huyu amelewa walai,tangu lini Dar ikawa na skyscrapers nyingi kuliko Nairobi, umechizi,alafu hicho milimani city isijaribu kutaja hapa,mvutio haina kama godowns tu,hope umewahi sikia Two rivers mall,babayao EA
Nairobi imepita Dar kwa mengi..
1.malls
2.industries
3.Banks
4.highways
5.functional SGR
6.Nairobi GDP is bigger than DAR
7.modern and best hospitals
8.Top universities
9.many vehicles
10.modern Towers
11.interchanges & overpass
12. Nairobi stock exchange is bigger than of Dar,does even exists such thing in Dar??
13.golf courses
14.Green and beautiful relaxing gardens
15.Big telecommunications like safaricom
16.luxury estates
17.3 CBDs
18.biggest & busiest Airport
List is endless,, Dar can only kiss Nairobi ass
Mhmm.. kuna mawili
1. Either hujui unqchokiongea kwaiyo unaongea kama ulivo sikia.

2. Au unajua ila unafanya kusudi ili uipromote Nairobi kama mnavyofanyaga maisha yenu yote..(ofcoz hii sio mbaya lkn fanya kwa wasiojua)

Kabla hamja kamilisha hya majengo yenu ya sasa nairi ilikua na majego yaliyo vuka 100m+ yasio zidi 6.. niprove wrong japo najua huwezi..

Dar es salaam yalikua 9.. ambayo ndio idadi ya Nairobi kwa sasa wakati Dar es salaam ina 13.

Ukweli ni kwamba ivyo vijengo unaviona hapo Nairobi vingi havijavuka mita 100..
 
GTC pekee ni sita na yote ni over 100m
 
Let me count them for you
1. Britam 200m
2 GTC I 184m
3. UAP 163m
4. GTC II 145m
5. Times Tower 140m
6. CBK 137m
7. Prism 133m
8. Parliament Tower 126m
9. Le`Mac 125m
10. Teleposta 120m
11. GTC III 113m
12. GTC IV 113m
13. GTC V 113m
14. GTC VI 109m
15. KCB 109m
16. Upperhill Chambers 106m
17. KICC 105m
18. NSSF 102m
 
Unajua wabongo(watanzania) tunashida (sijui niite shida au niiwekeje hii) moja inayotusababiisha mpka leo hii tunabishana na kenya kuhusu kijiji chao kile,vs dar es salaam..
Shida yenyewe ni pale ambapo tuna chukulia kila kitu simple namaanisha bongo leo hata ikitokea tukajenga jengo refu duniani hutaona kelele kwenye mitandao ata kwenye list nying za internet itakua ngumu kufika mpka muda upite au wao wenyewe washoboke lakini ndugu zetu wakijenga choo cha shule utasikia best in east and central, wakichimba shimo la maji machafu best in east and central na wanakaza shingo kama huwajui utazani kweli,, so kupitia iyo situation dunia inawaona ni bora kweli kwa sababu ya ilo neno lao la best in east and central. Natoa mifano michache hapa vhini. (bashiru alisema uongo ukiimbwa sana unakua ukweli na kenya wanatumia vizuri hii kauli na inawasaidia.)

Mlimani city..
Ivi kweli mlimani city yote ina 30k msqure yani unanambia ina urefu wa mita 200 na upana wa 150 by sketching?? Seriously?? Ingekua kenya mpaka parking na kila sehemu pale ingehesabiwa then waje na big in east and central ila ukweli ni kwamba lile jengo kama jengo( tena jengo 1) ndo lina square 30k yani hactre 3 ila mlimani city yote pamoja nao office zake na ukumbi parking na kila kitu ina square mita zisizopungua 200k.
yet bado hatusemi big in Africa.

Skyscrappers..
Ukiwasikia wakenya wanaongelea majengo marefu utazani wanamiliki newyork au labda paris. But ngoja nikwambie kitu mpka mwaka 2019 dar es salaam lilikwa jiji la pili kwa kuwa na skycrappers nyingi sub sahara africa baada ya johnsbg ambapo kwa namba dar ilikua na skyscrapers 3 za 150m+nyuma ya jhnsbg amabayo ilikua na majengo marefu ya 100+m yalikua 17, 150+m yalikua 4 na 200+m yalikua 2.. na dar es salaam ambao tunafuata tulikua na 100+m yalikua 8, 150+m yalikua 3. Hakuna nchinyingine ilikuepo tena katika sub saharan africa.. kiukweli watz hatukuongea na bado hatuongei.

Baada ya hapo kuna nchi zimekamilisha majengo yao wakiwepo kenya na list iko ivi. Still johnesbg anaongoza..
Dar es salaam anafuata tena akiwa na majengo ya 100+m yapo 13. 150+m yapo 4.

Nairobi 100+m yapo 9 150m+ yapo 3 200+m lipo 1.
Hapa pia hatuongei yani tunaonekana kama sisi ndio wanyonge.. kilicho badilika ni kwamba katika skycrapers sasa nairobi amekua wa 3. Baada ya johnsbg na dar.

Wabongo tuwe tuna update mambo yetu inasaidia sana kuongeza utalii.

Kumbuka internationally skycrapper ni jengo lenye urefu wa 150+..

#kuna mambo mengi ila naona bandiko limekua refu nitaongeza kesho nisiwachoshe..
Mtanisamehe sana kwasababu nimeshindwa kupachika picha na link kama source lakn nitajaribu kuweka chini..
Wewe ni Mtu sahihi sana.. Ubarikiwe.

Hawa jamaa kwa mdomo nawapigia salute.

Nilipokea wageni ofisini wametumwa na ofisi ya Gavana Mmoja hapo pembeni ya Nairobi County..

Hii was the best experience ever.. my boss a very low key person was in awe for lack of organization iliyokuwa portrayed na Hawa jamaa waliokuja na ujivuni mwingi...

Walipokelewa wakalazwa hoteli moja mitaa ya Sea view.. 🙂 next day the entire office tukaahirisha maswala yetu tuna ugeni.. walipofika ofisini.. wakakaa wanabung'aa... The entire side glass wall of the board room was facing the Indian ocean a view you can't forget... Walikaa pale wadogo kamapiritoni...

Getting down to the business that's when I realized Hawa watu ni madalali tu.. na ukiweka na kujiamini kwao you might think they know shit.. kufupisha stori it was an embarrassment ..na waliondoka never to come back again... 🙂

Nakuelewa sana...what we know here, what we have!? Is far better and superior to many african nations ..tunapaswa kujiamini tu..

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
modern bus terminal budaa😂😂
Ila road za Tz ziko poa xana, even 4 the next 100 generation will fill proud of it, emm check kwanza wakenya kwa hapa tulien,,, Tz inakimbiza
 
Attachments

  • FB_IMG_1602329250069.jpg
    FB_IMG_1602329250069.jpg
    24.1 KB · Views: 8
  • FB_IMG_1602329236309.jpg
    FB_IMG_1602329236309.jpg
    33 KB · Views: 9
  • FB_IMG_1602328033128.jpg
    FB_IMG_1602328033128.jpg
    18.8 KB · Views: 8
  • FB_IMG_1602328749276.jpg
    FB_IMG_1602328749276.jpg
    31.1 KB · Views: 8
  • FB_IMG_1602328089662.jpg
    FB_IMG_1602328089662.jpg
    36.6 KB · Views: 9
  • FB_IMG_1602328102547.jpg
    FB_IMG_1602328102547.jpg
    33.2 KB · Views: 8
  • FB_IMG_1602328132122.jpg
    FB_IMG_1602328132122.jpg
    31 KB · Views: 9
  • FB_IMG_1602328504043.jpg
    FB_IMG_1602328504043.jpg
    16.6 KB · Views: 8
  • FB_IMG_1602328462343.jpg
    FB_IMG_1602328462343.jpg
    17.8 KB · Views: 9
  • FB_IMG_1602328534414.jpg
    FB_IMG_1602328534414.jpg
    45.3 KB · Views: 9
  • FB_IMG_1602328564768.jpg
    FB_IMG_1602328564768.jpg
    24.4 KB · Views: 10
  • FB_IMG_1602328573606.jpg
    FB_IMG_1602328573606.jpg
    25.8 KB · Views: 10
Back
Top Bottom