Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,199
- 107,799
kama ume-notice week hii imekua ya news mbofumbofu kwao wakigeuka Amina chalii.., upande wa pili WB hao wamewaweka kwenye kundi la heavily indebted n risky..! wakigeuka kule Uhuru katangaza habari za Maombi baada ya kuaminishwa wamepigana na COVID19 na baada ya Uhuru kudai Tanzania wanaficha data..!Hivi wakenya huwa wakiambiwa deni ni kubwa wanajitetea kwamba hata Japan wana deni kubwa, waje watuambie kama WB wameiweka Japan au USA Katina hili kundi.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hehehe kumbe hadi ww uko mweupe tu...Yaani nyie mna mall moja tu inayoitwa milimani city. Haki mnatuangusha sisi wana Afrika Mashariki. Hata Uganda kanchi kadogo kana malls nyingi kuwashinda. Halafu hapa Afrika, Afrika Kusini pekee ndio imeshinda Kenya kwenye idadi ya malls. Kwa hivyo hapa hakuna battle na sitakubali kupigana battle ya malls na nyie.
None of these pictures you have posted here can`t even be considered to be malls in Nakuru.Kumbuka apo sio moja ni mbili iyo ya mwisho ni Aura mall sasa ww lialia tu....alafu akuna ambayo haijafunguliwa so tuliaView attachment 1595543View attachment 1595542
So the largest mall in Dar es salaam is 30k m2? Kumbe hata Eldoret is ahead of Dar.Hehehe kumbe hadi ww uko mweupe tu...
Google is your friend mall zingine kubwa Dar ni Hizi
2.Quality centre 30sqm along nyerere road
3.Mkuki house Mall 20sqm along Nyerere road
4.GSM Mall besides Quality centre along Nyerere road,GSM Mall Msasani
5.Aura Mall along Morogoro road
6.City Mall along Morogoro road
7.Morroco square Mall
8.Palm Village Mall mikocheni
9.Mbezi beach Mall
Yaani nyie mna mall moja tu inayoitwa milimani city. Haki mnatuangusha sisi wana Afrika Mashariki. Hata Uganda kanchi kadogo kana malls nyingi kuwashinda. Halafu hapa Afrika, Afrika Kusini pekee ndio imeshinda Kenya kwenye idadi ya malls. Kwa hivyo hapa hakuna battle na sitakubali kupigana battle ya malls na nyie.
na kama tuna masoko mazuri, kwann tuhangaike na kuwa na malls nzuri?Labda ni kweli Nairobi kuna Malls nyingi klk Dar, lkn ukweli ni kwamba hakuna mall nzuri Nairobi kama Mlimani City, na nimefika malls karibia zote kubwa Nairobi, Mlimani City haina mfano kwa uzuri na ubora wa kila kitu, ...
Hili dude tutapoteana nawaambiavitu kama hvi mutazipata yesu akishuka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1595333View attachment 1595334View attachment 1595335
Eldoret na Dar wap na wap ndugu yangu ww? Yes largest Ni mlimani city n Quality centre both are 30sqmSo the largest mall in Dar es salaam is 30k m2? Kumbe hata Eldoret is ahead of Dar.
Sijafika Nairobi lakini bado sijaamini kauli yako[emoji23][emoji23][emoji23]Labda ni kweli Nairobi kuna Malls nyingi klk Dar, lkn ukweli ni kwamba hakuna mall nzuri Nairobi kama Mlimani City, na nimefika malls karibia zote kubwa Nairobi, Mlimani City haina mfano kwa uzuri na ubora wa kila kitu, ...
Keep crying little baby ,because after compliting of this one[emoji116] there will be no one above her not in in this region mark my word[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] so i suggest keep laughing while you can cause it will not last longer[emoji706]None of these pictures you have posted here can`t even be considered to be malls in Nakuru.
hebu piga picha ile cable stayed bridge pale Nyerere Road naskia imevunjwa!
Eldoret largest ni Rupa mall, size ni 47,000sqmEldoret na Dar wap na wap ndugu yangu ww? Yes largest Ni mlimani city n Quality centre both are 30sqm
upo serious 30 sqm unaita largest? mbona ni size ya chumba cha kulala?Eldoret na Dar wap na wap ndugu yangu ww? Yes largest Ni mlimani city n Quality centre both are 30sqm
I don`t deal with renders, please.Keep crying little baby ,because after compliting of this one[emoji116] there will be no one above her not in in this region mark my word[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] so i suggest keep laughing while you can cause it will not last longer[emoji706]View attachment 1595606View attachment 1595611
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] it will be 93,000 sqm[emoji16][emoji16][emoji16]I don`t deal with renders, please.
it will be 93,000 sqm
Thanks for the renders.[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] it will be 93,000 sqm[emoji16][emoji16][emoji16]
Hii sjiara haijawahi kukamilika?Kawawa Road SGR Bridge.
View attachment 1595579
View attachment 1595580
View attachment 1595581
View attachment 1595582