The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Hakuna mtu aliyekupangia ila km ww ulivyotuambia nami pia nmetumia uhuru huo huo kukuambia cz cjatumia lugha chafu but km imekuuma basi yale maneno yako pia jua kuwa yanaukakasi, btw tuachane na hii mada.Natumia uhuru wangu wa kujieleza mkuu sikulazimishi ukubaliane na mimi wala huwezi kunipangia nikae kimya.
upperhill ndani, CBD ndani na westalnd ndani kiufupi nairobi imeisha hapo 😀View of westlands skyline from the tallest residential apartment in EA "le'Mac"
View attachment 1595053View attachment 1595052
Naona wamekuwa inspired na eng. Mfugale hapa hahaahaHapa mtajitahidi sio ile maneno ya SGR Viaduct Tsavo! Litavutia kwa kweli!
hio ipo over 30km from CBD my friend imagine 😂😂😂Kwa mambo za malls sahau kabisa. Usiwahi nitaja kwa hizo vitu za 2,000m2
vitu kama hvi mutazipata yesu akishuka 😂😂😂👇👇👇👇Kwa mambo za malls sahau kabisa. Usiwahi nitaja kwa hizo vitu za 2,000m2
Hata iwe over 1,000,000,000 km away from CBD I don`t care. The fact remains that it is less than 20,000m2hio ipo over 30km from CBD my friend imagine 😂😂😂
Tena umetoka kwa malls? Ama you were just horny?vitu kama hvi mutazipata yesu akishuka 😂😂😂👇👇👇👇
View attachment 1595333View attachment 1595334View attachment 1595335
uhehehehe kwa sasa mungekaa mukatulia tu speed of developments in tanzania ni motoo🔥🔥🔥 bora utulize kibushaTena umetoka kwa malls? Ama you were just horny?
nina imani hujaumiaHata iwe over 1,000,000,000 km away from CBD I don`t care. The fact remains that it is less than 20,000m2
Ok, endelea kuotauhehehehe kwa sasa mungekaa mukatulia tu speed of developments in tanzania ni motoo🔥🔥🔥 bora utulize kibusha
wakat mwingine mukabaliane na ukweli sio kila kitu ushindaniOk, endelea kuota
That's not a mall, hiyo ni size ya retail store in Kenya. Ikiletwa Kenya inakuwa supermarket.nina imani hujaumia
3 things one area👇👇
modern market
modern mall
bus stage
Wapi ukweli hapo? Nionyeshe.wakat mwingine mukabaliane na ukweli sio kila kitu ushindani
Mnajisifu kupendeza kwa nguo ya kuazima,kenya lipeni kwanza maden ya watuAnajifanya jeuri tu lkn anajua fika na tumepost mara kibao humu.
Wakenya hawajawahi kukubali chochote kinachofanywa na Tz hata kama viongozi wao wanaonesha dhahiri shairi kutaka kujifunza kutoka Tz lkn Wakenya wa humu hawakubali, ss nashangaa WaTz wa humu kuleta Shobo na kujifanya wapo fair, fairness gn unatuletea humu? Hatutakuelewa kabisa cz hao unaowapa credit wao hawakupi hata ufanye nn ss hii ndo nn?That's not a mall, hiyo ni size ya retail store in Kenya. Ikiletwa Kenya inakuwa supermarket.
Why are crying?Wakenya hawajawahi kukubali chochote kinachofanywa na Tz hata kama viongozi wao wanaonesha dhahiri shairi kutaka kujifunza kutoka Tz lkn Wakenya wa humu hawakubali, ss nashangaa WaTz wa humu kuleta Shobo na kujifanya wapo fair, fairness gn unatuletea humu? Hatutakuelewa kabisa cz hao unaowapa credit wao hawakupi hata ufanye nn ss hii ndo nn?
WaTz wacheni kuturudisha 60s miaka ambayo WaTz wengi walikuwa na roho ya utu ambayo imepelekea leo cc watoto zao tuishi mazingira km haya, hawa jamaa ni wakuwakataa kivyovyote vile hawafai kabisa na hawapaswi kusifiwa kwa chochote kile cz hata wao hawako fair na ni washenzi kabisa na hawaitakii mema nchi yetu.
Mm nikiona mTz anasifia kenya kivyovyote vile namuona km msaliti na anayejipendekeza kwa mijitu isiyo na shukurani.
Wacheni mambo yenu bhn, kwn Wakenya wa humu Jf hawajui km tunaenda kwenye right direction? Mbn hawasifii, je hawajui km serikali yao imejaa ufisadi? Mbn hawakubali, ss ninyi WaTz mbn mnaleta utanzania wenu wa 1960s wacheni mambo yenu bhn.