Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I agree
 
Kuna vitasa vinaendelea kule twitter! Ila wahusika ni kama wana-JF vile wamehamishia vitu twitter!


Eti Tony254, komora096, The best 007 na joto la jiwe mbona mnahamishia vita twitter? ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ [emoji3516]
Kiukweli mm hawa popote wanapoleta ujinga iwe twitter, u tube, Jf na popote huwa naruka nao mazima ila hapo cjakuwepo mkuu [emoji3][emoji3]
 
Honestly roads za Nairobi,malls na high na middle surbubs tunahitaji kujifunza kutoka Kenya. Ukweli mchungu.
 
L waOL dhahabu ina policies zake, usifikiri ni biashara ya kujifanyia tu, kiufupi madini yote Tanzania yapo very strictly in policies ordaining their processes
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜wanafikiri Tanzania tunauza miraa Kama wao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ