Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,191
- 107,783
at least huyu kawa mkweli, nadhani anahofia yale yaliyomkuta yule wa Kigoma kupigwa picha akishuka ndani ya Bombardier!leo wanasifia ila baadae zikijengwa wanasema watu wa vijijin wanafaidika nn..
Huu mpingo uko kivyake asante lapf.[emoji13][emoji13][emoji13]View attachment 1593118
Mkuu ungei cover plate number[emoji16]
Amesha ifutaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]、sijaiona wakuu hebu tupia DM
ngoja niifute... ila sina uhakika kama ni yey 100% ila nimeuliza mana anasema huwa anakuja huku sana masaki/oysterbay na gari lake liko kama hilo..
Umepaonaje...Arusha tz
Nitupie inbox niione niconfirm Boss [emoji23][emoji23][emoji23].
Hapa Lissu amegusia vitu cha msingi sana
ni bmw.. kama ulikuja pizza hut mida ya saa 6 mpk 7 bas ni wew, otherwise sio wew
T889
HILI NDIO PICHA LANGU LA MWAKA 2020, napendaga creativityNimegeuza picha, endelea kuhesabu [emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1592549
Yah litajengwa Ubungo mkuu.Jengo la BRT linajengwa wapi? mbona wasijenge Ubungo kwenye nafasi?
Ndo mana huwa wanapewa vitasa km hv [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]Watu wa ufipa hawataki kusikia ujenzi wa reli Wala barabara uchimbaji wa madini au gesi wanasema hayo yote ni maendeleo ya vitu
Wao wanataka tuandamane na kushitaki ICC kwao ndiyo maendeleo.