joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Ninaamini hii idea yako ni sahihi Sana, haileti maana kipande cha reli kimalizike mapema then kibaki "idle" kikisubiri kipande cha mwazo, uwezekano mkubwa kwamba vitakutana Isaka wakati mmoja. Asante sana mkuu kwa umakini walk.Mkuu nahisi kuna complication ya ujenzi ukiwa unaingia mza.
Kunaweza hitajika kupasua milima ambayo si kazi ya kitoto, nafikiri wengi wetu tunajua jiografia ya mza.
Mwanza na isaka kuna marshaling yards kama sikosei.
Ukiacha tabora, mwanza - isaka ina vituo vingi vikubwa, ambavyo ni mwanza na shinyanga, isaka na malampaka vinaweza kuwa vituo vya size ya kati ila si vidogo.
Uwezekano wa mza isaka kuchukua muda mrefu kwenye ujenzi kuliko makutupora isaka ni mkubwa.
Let assume mwaka kesho wakatangaza tender ya makutupora isaka Unaweza kuta ujenzi ukaisha sawa na wa mza isaka. kutakuwa hakuna utofauti sana na hata ukiwepo ni miezi sita or less.
Suala la mizigo kuanza kuchukuliwa na sgr si la hivi karibuni. Inavyoonyesha linasubiriwa daraja la pale gerezani liishe ndio ujenzi uanze kuelekea bandarini.
Walificha mikia, yani outsise Dar, no town can level with even Kenya's no.5 kote kote, drone views has exposed how Tz is still an LDC on the ground but Lower mido income on paper, where TZ is just at the tail end of it, a slight hiccup economicaly wana anguka LDC., but bro am proud to be East African, I brag to my Zim n Angola friends I trade fx with about how EAC is the King of Africa., wakiteta nawambia waangalieRwanda, Tz Kenya and by extension Ethiopia, wana tii deadly![/QUOTE]Kwa hiyo mmeona Dar sio level yenu.tukiwaletea maendeleo ya Tanzania nzima si mtapotea?[QOTE="komora096, post: 36897504, member: 509097"]
Naona mara hii umewajia kivingine, hapo kw video naona utawatoa roho mazee
Control centre ni kama kituo cha Television au Redio, lazima kiwe ni kimoja lakini kinarusha matangazo nchi nzima ila kinachobadilika ni frequencies, vinginevyo kutakua na utofauti wa matangazo. Fuatilia maelezo ya Kadogosa kwenye youtube utaelewa vizuri zaidi.Sidhani kama control Centre itakuwa dar pekee bila back up yoyote ile
Amefunga border mara kadhaa ili products za Kenya zisiuzwe Tanzania.Hivi unaweza kutaja jambo moja ambalo Magufuli amelifanya ambalo ni kosa dhidi ya Kenya?
Tutafunga border na kutupu ufunguo chooni na kusahau kama kuna nchi inaitwa Tanzania.Tuna mpango wa kumuongezea term limit 2025! Kwa povu unalotoa inaelekea kawakanyaga vibaya munooo!
If Uhuru is not careful he will be the first Kenyan President not to be accorded an official invitation by Tanzania
Onyesha lini Tanzania ilianzisha tukuo la kufunga border ambalo haliendani na kulipiza kitendo kilichofanywa na Kenya.Amefunga border mara kadhaa ili products za Kenya zisiuzwe Tanzania.
Hii barabara moja utaposti kila wakati kama wazimu? Si ukae siku moja kabla ya kuposti ndio tupumue? Tunajua hamjawahi kuona flyover, hii ndio flyover yenu ya kwanza lakini huu ushamba umezidi. Malazy punguzeni nyege ni hii flyover, tafadhali posti vitu zingine kwa sababu uzi umeshahariwa kwa post hii moja.
Kuwa na adabu hiyo ni one and only three level interchange in EA[emoji16][emoji16], so show respect....Hehehee!!kujeni muone jamaa kaleta video ya flyover.[emoji23][emoji23]
Uhuru ako France kukopa ni aibu kwa Kenya na East AfricaSasa ni awamu ya Nairobi
Under construction
1.Nairobi expressway (27km)& overpass (11km)..10-16lanes
2.western bypass (20km) 8lanes
3.Ngong road phase 2 (15km) 4 lanes
4.westlands to limuru superhighway (23km) 10 lanes
5.BRT phase 1 (50km)..contractors on site ready for the job
6.commuter railway..DMUs coming soon
Coming soon
1.overpasses at
*ngong road (two of them)
*valley road
*mbagathi road
*Enterprise road-CBD
2.Jkia-CBD railway line(Uhuru ako France Leo hii kwa hio deal yenye pia limuru-Nakuru-mau summit highway(2*2 lanes,178km) iko hapo)
3.BRT phase II
4.Dualing Eastern and Northern bypass
Nadhani umefanikiwa kupitia hizo post apo nyuma ....sio unalialia tu....lazima tuwafundishe adabu...mwenzio mpka amesema kweny picha anaiona Europe...sasa anatak ajisibitishie kupitia video[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huhuhuuu!!yosef akikuskia atakupa dose[emoji23][emoji23]..
Siku hizi amewakosesha hamu kabisa
Nimemsikiliza kadogosa sana ila kiuhalisia kukikorofisha dar treni hazitembei.Control centre ni kama kituo cha Television au Redio, lazima kiwe ni kimoja lakini kinarusha matangazo nchi nzima ila kinachobadilika ni frequencies, vinginevyo kutakua na utofauti wa matangazo. Fuatilia maelezo ya Kadogosa kwenye youtube utaelewa vizuri zaidi.
Unichambulie ww hahahahahhaSiku umekua mkalimani, emu ilete statement yake tukuchambulie wazee wa direct transalation[emoji23]
swali zuri sana.....Hivi unaweza kutaja jambo moja ambalo Magufuli amelifanya ambalo ni kosa dhidi ya Kenya?
wacha watuige sisi....Hapa ndo huwa nashindwa kuwaelewa hawa jamaa si basi wangechukua mkopo wamalizie kipande cha SGR cha Naivasha-Kisumu-Malaba? Sasa hapa ni kama wame-give up na SGR sasa wamepindukia highways! Yaani ni vuluvulu wamepoteza network!
Hujambo mzee wa direct translation[emoji23][emoji23]Unichambulie ww hahahahahha View attachment 1589924
Rudia tena[emoji23]wacha watuige sisi....
maana dalili ya kushindwa vitu ni kupanic tu kinachotokea sasa kitakachofanyika Tz nao watataka kufanya tena kwa nguvu kubw,,,,hapo ndipo wanapopotea siku ya kufa nyani
Tuma video ya mwanza city tupaone..Nadhani umefanikiwa kupitia hizo post apo nyuma ....sio unalialia tu....lazima tuwafundishe adabu...mwenzio mpka amesema kweny picha anaiona Europe...sasa anatak ajisibitishie kupitia video[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Barabara ya kupitana kw juu tatu kenya ilifanyika 10yrs ago[emoji382]Kuwa na adabu hiyo ni one and only three level interchange in EA[emoji16][emoji16], so show respect....View attachment 1589918