Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,610
Mkuu nahisi kuna complication ya ujenzi ukiwa unaingia mza.Mimi sina tatizo na ujenzi wa reli zote mbili, tatizo langu ni kwanini wasingeendekeza kama walivyofanya mwanzo, yaani Dar - Moro - Nakutopora - Isaka - Mwaza, ili njia ifunguke taratibu?.
Kumbuka kwamba, Control center ya SGR ipo Dar.kwahiyo Mwanza- Isaka haiwezi kufanya kazi bila kuunganishwa na Dar.
Lakini hata usafirishaji wa hizo trains za SGR, zitafikaje huko Mwanza?
1)Ziendeshwe hadi Dodoma, ndio zipakiwe katika MGR hadi Mwanza
2)Zipakiwe na MGR toka Dar hadi Mwanza, logistically haijakaa vizuri.
Hahaaa!!nakuru pamekushtua mzee baba, usijali lknTatizo ni kwamba eneo kubwa bado ni pori msee.
Naona mara hii umewajia kivingine, hapo kw video naona utawatoa roho mazeeOutside Dar hakuna city ya maana Tz., Tz ni Dar na Dar ni Tz., period! I like drone views/video clips, no room for lies and deceptive perspectives za still photography. Dar imeanikwa peupe, no more lies. Area ya uzuri wake, modern infrastructure region iko wazi., the bigger rest., mnajua vyema.
Sidhani kama control Centre itakuwa dar pekee bila back up yoyote ileNinakubaliana na wewe, ila jambo moja tu ambalo ninataka kukuelewesha ni kwamba, Control center ya njia yote ipo Dar.hata train iliyopo station ya Kigoma itakuwa inafuata maekekezo ya Dar, yaani madereva wa hizi trains watakuwa wanawasiliana moja kwa moja na kupokea amri toka Dar.
Lazima Control center iwe moja ili kuepuka mgongano wa maelekezo, Mwanza haipaswi na wala hakutojengwa control center, kwahiyo hiyo Mwanza - Isaka lazima iunganishwe na Dar ndio ianze kufanya kazi.
Embu msaidie kungalia the Europe of EA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] videos zipo zakutisha zimetumwa...saidianeniNaona mara hii umewajia kivingine, hapo kw video naona utawatoa roho mazee
Endelea kujichekesha tu wakati huku hta nakuru hujui utatokajeTukisema Kenya ni Nairobi tu wanakasirika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani Ukitoka Nairobi huko kwengine kote ni jangwa na vichakani ndio maana Nairobi ni mother of slums sababu kila mtu alietoka jangwani na vichakani anaota usiku na mchana akaishi Nairobi [emoji28][emoji28][emoji28]
Gongelea hapo hapo broOne thing in three photos on cosmetics, the deception of perception, a false illusion created in the minds of clueless simpletons. Video clips rocks, no more lies![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]😛
Hehehee!!kujeni muone jamaa kaleta video ya flyover.[emoji23][emoji23]Then here’s a video clip ma’am
Kwel mnatapatapa, video tu yani ndio zimewakosesha raha hivi[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] only this is enough kwa mwenye akili sababu hii ni 98% ya mother slum [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
View attachment 1588577
Hiyo inaitwa three level interchange, na unapoitaja inatakiwa uwe heshima kdg mana kwenu haipo hyo na hamtokuwa nayo kwa kipindi cha miaka 10 mpk 20 ijayo [emoji3][emoji3]Hehehee!!kujeni muone jamaa kaleta video ya flyover.[emoji23][emoji23]
Tena post za wakenya mnazikataa[emoji23][emoji23]msikieni mbuzi wa kikenya[emoji116][emoji116][emoji23]View attachment 1588759
Mzee bango bado upo, naona siku hizi unakata mabango ya ujenzi[emoji23][emoji23]anakuja anadanganya watu humu eti wanajenga BRT [emoji23][emoji23][emoji23]
Tujuze jomba, slum ni nnNimetazama hiyo clip, but nilitegemea kuona slum,! what a joke! Jaribu kuelewa maana ya slum kwanza [emoji23][emoji23][emoji23]
Hehehehehe leo hujui slum ni nn [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]Tujuze jomba, slum ni nn
tena wanampenda sana tu 😅😅😅Mlizoea kuichezea Tanzania ovyo sasa mmekutana na bulldozer mwenyewe JPM anawanyorosha vilivyo hamna hamu nae,
Mumpende kwani ni rais wenu! [emoji23][emoji23][emoji23]
Alaaaa!!kwhyo neno slum limetoka chato sioHehehehehe leo hujui slum ni nn [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1589878View attachment 1589879View attachment 1589880View attachment 1589882
Naona ni km umeandika kisengerenyuma, pangani ilikuwepo miaka kumi iliyopita..Hiyo inaitwa three level interchange, na unapoitaja inatakiwa uwe heshima kdg mana kwenu haipo hyo na hamtokuwa nayo kwa kipindi cha miaka 10 mpk 20 ijayo [emoji3][emoji3]
Huhuhuuu!!yosef akikuskia atakupa dose[emoji23][emoji23]..Embu msaidie kungalia the Europe of EA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] videos zipo zakutisha zimetumwa...saidianeni
Siku umekua mkalimani, emu ilete statement yake tukuchambulie wazee wa direct transalation[emoji23]Najua kumia ni jadi yako ....so deal with it[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]in last 2 week ambassador of USA alisema anahisi yuko NY....embu kabishane nae kwanza ndio uje[emoji23][emoji23][emoji23]