The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Tatizo ni kwamba mnakosa barabara ndogo ndogo za kutokea mitaani mfano cc huku kwetu wamejitahidi sana kujenga barabara za mitaani unakuta mtu anatoka town anapita barabara za mitaani ambazo nazo ni lami anatokea mbele saafii.One of the reasons why an elevated expressway was a necessity along Mombasa road. This is how messy it can get sometimes. Too many cars on the road! View attachment 1587210
Project km hii itakuwepo na kule Tanga "TanCity"Mambo mazuri yajaView attachment 1587227
BRT made simple. Wakenya hawataki kuumiza vichwa kabisa awamu hii ya Uhuruto. π π πi know is this one πππ lipatic madeπ
View attachment 1587298
Kwa hiyo exposure yenu mlionayo ndio inawaruhusu brt yenu kutumiwa na bajaji na mikoteni?Ubaya ni kwamba exposure ndio hauna. Unajifanya unajua sana ila hakuna unachokijua View attachment 1587313View attachment 1587315
Na hapa kumbuka kwamba tunatumia akili 1% ss pata picha tukiongeza 1% nyingine c ndo tutaanza kupambana na Portugal [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Baada ya kujibiwa kuhusu Cartels katika miradi yenu ukaona uhamishe goli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sgr jiwe bado inapumulia mashine, tangia november 2019 inacheza 75-80 percent[emoji23][emoji23]
Hakuna shirika lolote la ndege duniani linaloamua kuliachia route shirika lingine kama hiyo route ni profitable, never on Earth.Nishaitumia hiyo route,full abiria,itakua mkakati tu kq kujiongezea abiria kama walivyosabotage kwa british air na lufthansa,wale wajinga walitaka hadi swiss air klm ziishie nairobi
Why would we care. Of course he is going to win . Your country is a defacto one party state. Ati bad news for majirani . He was always going to win. Takataka.
But it pains because majority of Kenyans don't like himWhy would we care. Of course he is going to win . Your country is a defacto one party state. Ati bad news for majirani . He was always going to win. Takataka.
Umewahi kuja Nairobi? Ama ni kuongea tu?Tatizo ni kwamba mnakosa barabara ndogo ndogo za kutokea mitaani mfano cc huku kwetu wamejitahidi sana kujenga barabara za mitaani unakuta mtu anatoka town anapita barabara za mitaani ambazo nazo ni lami anatokea mbele saafii.
anafkiri BRT is just like eating githeri alaf kuharisha yani simple like thatπππBRT made simple. Wakenya hawataki kuumiza vichwa kabisa awamu hii ya Uhuruto. π π π
Bila kusahau marejesho...'esijiara' inamkamkamua MkenyaMjitahidi mpate kukamilisha kwa wakati bila zengwe
so ww kwako jam ni kitu cha kusifia kabisa au?? hvi 5m people in a city area of 696km sq itakosa foleni kweli???? nairobi ni ndogo sana na imejikusanya sana foleni haitaisha mark my wordsKwa Malazy wanaodhani kuwa Thika road pekee ndio ina magari mengi basi kuna barabara linaitwa Mombasa road. Hili jitu la barabara lina jam ya kufa mtu. Hii ndio maana tunajenga expressway hapa Mombasa road ili kupanua barabara hata zaidi. Expressway ni kama tu flyover lakini ni ndefu kushinda flyover. Hii picha ni ya Nairobi kwa wale watakaoshangaa kama ni picha ya Afrika.
View attachment 1587481
Hata sisi tunajua hizi ndio rangi halisi za barabara za Dar. Arguments zako zinakua za kijinga sana sometimesHizi ss ndio rangi halisi ya roads za nairobi [emoji3][emoji3]