Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Najua miradi yao yote waliohitaji sidhani kama itakamilika yote labda rais awe mjomba magu kwny ardhi ya kenya
hakuna kitu wanajenga inaitwa BRT ni ujanja ujanja wakudanganya wakenya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

naskia jamaa kaenda paris ku sign mkopo kwa ajili railway line from CBD to JKIA πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yani hawa jamaa wanachekesha sana
 
Niokote picha ndio nikufurahishe ama? That's Mombasa road ukishapita airport and Gateway Mall, on your way to Syokimau. Hii hapa ni picha nyingine nimeokota of the same section of road. Lia sasa [emoji23] [emoji23] View attachment 1587262
Budah nadhani utakuwa ujanielewa vizuri nilichokuwa na maanisha
 
Ubaya ni kwamba exposure ndio hauna. Unajifanya unajua sana ila hakuna unachokijua View attachment 1587313View attachment 1587315
utadanganya watoto lakini sio mm mtu mzima bro nyinyi hamujengi BRT bali munazidi kujikanyaga wenyewe tena facility zenyewe zimeandikwa CBD and kenyatta hospitalπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ lakini ukweli utabakia kua BRT is a system wether u go east or west ndio maana baada ya kupaka lipstic pale thika mulikaa miaka miwili mukijikanyaga mufanye nn πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
hakuna kitu wanajenga inaitwa BRT ni ujanja ujanja wakudanganya wakenya [emoji23][emoji23][emoji23]

naskia jamaa kaenda paris ku sign mkopo kwa ajili railway line from CBD to JKIA [emoji23][emoji23][emoji23] yani hawa jamaa wanachekesha sana
Muache azidi kuongeza deni hivi hawajui kuwa deni lao liko 60s% ya GDP yao
 
Budah nadhani utakuwa ujanielewa vizuri nilichokuwa na maanisha
Ni nini hapo sijaelewa? Did you write it in Hindu? Kwa hivyo wewe ndio unaelewa Nairobi kushinda mimi mwenyeji? Ama uliposema nilikokota picha ulimaanisha nini?
 
Ni nini hapo sijaelewa? Did you write it in Hindu? Kwa hivyo wewe ndio unaelewa Nairobi kushinda mimi mwenyeji? Ama uliposema nilikokota picha ulimaanisha nini?
Nilimaanisha umekosa picha za kuleta ndo nilichokuwa na maanisha
 

Poa mkuu kama ni kweli.
 
Umesahau miradi ya maji safi na salama mabomba yametandazwa mpk uswazi na kuna baadhi yameanza kutoa huduma ila sehemu zingine nadhani watasubiri mpk awamu ijayo japo mabomba yameshafukiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…