Kweli kabisa. Ila haitakua ngumu kweli? Maana naona kama waliingia makubaliano yakindezi na wakunya. Dawa yao ni kuingia makubaliano na fly emirates ili waumie kiaina.Sasa hivi ATCL wangefanya makubaliano na etihad ili ATCL iende abu dhabi hata mara 3 kwa wiki,maana sasa hivi etihad aifiki dar,inaishia kunyaland hlf kq ndio inawaleta abiria wa dar
Thnks neighbour....[emoji4]Hongera Tanzania. Mnatukimbiza kwa speed ya kutisha sana. Hongera Afrika Mashariki.
🙏 AminaTutazoea..na tutahiatji more and more tutaanza kuona ni kawaida..
Mfano Terminal 3 Dar na Zanzibar ni kali so tutaziozea kuona za kawaida..so Msalato itakuwa kali zaidi .
Benjamin Mkapa Stadium ni ya kawaida sa hizi na tushaiozea ..60k watu wanajaza..So Our New National Stadium in dodoma utakuwa Bab kubwa with more than 80k seats..
SGR ikianza ku run..tutataka standard iwe SGR NK hii inasaidia kuongeza Chachu ya maendeleo....
In Next 5 yrs we are about to witness A major upgrade Rocket like...kuliko tuliyoiona miaka mitano iliyopita....cause serikali inafanyaga kazi zaidi awamu ya pili kuliko ya kwanza..
My Hope is that..Deal La LNG litakamilika, Deal la 1bn usd fertilizer plant litaisha, Reli ya Mtwara Mbamba Bay ..itaanza..hii itasaidia kukuza uchumi wa southern Regions -Lindi,Mtwara ,Ruvuma na Moro..upande huu hujapata stimulus mda mrefu...
Nategemea pia Iron mining itaaza Liganga..hizo ndo game changer..zitazoboost kipato cha watu miaka ijayo
Mwenyezi Mungu Atujalie Afya na Amani miaka inayokuja na uchaguzi huu tupite vizuri..tu enjoy mafanikio
Tony mm binafsi nilishawahi kusema humu kwamba kwa jinsi hali ilivyokuwa inaenda ilikuwa lazima Wakenya wakimbie huu uzi na tubaki pekee etu cz kasi yetu ya maendeleo ni kubwa mno utakuta ninyi Wakenya mnapost vitu vile vile lkn cc tunapost vitu vipya so hapo ilikuwa lazima mpoteze hamu ya hii battle.kikihboy ameshawapongeza. Mimi pia nimewapongeza. Kwani sisi sio Wakenya? Ninyi wenyewe ndio mliwafukuza Wakenya wengine katika uzi huu. Kwa hivyo mjilaumu wenyewe. Msilaumu Wakenya kwa kutelekeza uzi huu.
😀 Asilimia zilizobaki tunaweza kuziunlock endapo ufisadi na rushwa vitazidi kudhibitiwa watu watajiongeza balaa. Haya maisha ya simplesimple ndo yanayoleta lazy minds kama wakati ya JKNa hapa kumbuka kwamba tunatumia akili 1% ss pata picha tukiongeza 1% nyingine c ndo tutaanza kupambana na Portugal [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
😀 Buda hii ni battle na anekimbia pambano ipo wazi kuwa hawezi kuhimili mapigokikihboy ameshawapongeza. Mimi pia nimewapongeza. Kwani sisi sio Wakenya? Ninyi wenyewe ndio mliwafukuza Wakenya wengine katika uzi huu. Kwa hivyo mjilaumu wenyewe. Msilaumu Wakenya kwa kutelekeza uzi huu.
Ni mita 725 ...sio mchezoleo nimepita na gari, kuna kamlima ase kupanda hapo
mambo yenyewe ndio kama haya watakaa kweli humu ndani 😂😂👇👇Tony mm binafsi nilishawahi kusema humu kwamba kwa jinsi hali ilivyokuwa inaenda ilikuwa lazima Wakenya wakimbie huu uzi na tubaki pekee etu cz kasi yetu ya maendeleo ni kubwa mno utakuta ninyi Wakenya mnapost vitu vile vile lkn cc tunapost vitu vipya so hapo ilikuwa lazima mpoteze hamu ya hii battle.
Pia viongozi wenu wanawaangusha sn mfano utakuta Wakenya humu mkiongozwa na mk254 mnatamba kuwa serikali yenu itafanya hv lkn mwisho wa siku haifanyi hivyo na zaidi ile hali ya kuonesha udhaifu dhidi ya serikali ya Tanzania pia imezdsha kuwa discourage Wakenya na ndiyo maana mkapoteza hamu na Jf nzima wala co tu huu uzi.
tunashkuru mkuu huu ndo uungwana✊🏿🤝Hongera Tanzania. Mnatukimbiza kwa speed ya kutisha sana. Hongera Afrika Mashariki.
Ghorofa ngapi kaka, inaend kuwa another CBDHapo kuanzia jengo la TBS na Maji halafu mbele mawasiliano tower na PPF HQ na Mlimani City, inakuja Cluster matata sana hapo siku hizi za Karibuni.
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na hapa kumbuka kwamba tunatumia akili 1% ss pata picha tukiongeza 1% nyingine c ndo tutaanza kupambana na Portugal [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Uhasibu flyoverAiseh
Hyo loading ni bomb moja hatari
1.Tanzanite Bridge U/C
2.BRT Phase 2 U/C
3.Morroco -Mwenge 6-8 lanes U/C
4.Kimara- Kibaha 8-10lanes U/C
5.SGR Bridge U/C
6.Gerezani Flyover U/c
7. Dar Port Expansion U/C
8.
Coming soon Next Year
1.BRT Phase 3 and More likely Phase 4
2. Msimbazi River Development Project ..I hope watanyanyua na jangwani lets see
3 .Changombe Flyover i think washaanza kujenga
4.Morroco Flyover on planning
5.Kamata Flyover on planning
6.Kigamboni Football Pitchs (Cash and Contract already)
7.Indoor Arena hii iko on plan
8.Kawe-Morroco road expansion to 2*2
Sasa ni awamu ya Nairobi8lanes Kibaha- Chalinze 75km
Sasa ni awamu ya Nairobi8lanes Kibaha- Chalinze 75km
Ndio hela imeenda kuchukuliwa Parii?Sasa ni awamu ya Nairobi
Under construction
1.Nairobi expressway (27km)& overpass (11km)..10-16lanes
2.western bypass (20km) 8lanes
3.Ngong road phase 2 (15km) 4 lanes
4.westlands to limuru superhighway (23km) 10 lanes
5.BRT phase 1 (50km)..contractors on site ready for the job
6.commuter railway..DMUs coming soon
Coming soon
1.overpasses at
*ngong road (two of them)
*valley road
*mbagathi road
*Enterprise road-CBD
2.Jkia-CBD railway line(Uhuru ako France Leo hii kwa hio deal yenye pia limuru-Nakuru-mau summit highway(2*2 lanes,178km) iko hapo)
3.BRT phase II
4.Dualing Eastern and Northern bypass
Safi tunahitaji mambo km haya ili mtupe challenge co daily cc tu tutavimba kichwa zen tutabaki pale pale [emoji122][emoji122]Sasa ni awamu ya Nairobi
Under construction
1.Nairobi expressway (27km)& overpass (11km)..10-16lanes
2.western bypass (20km) 8lanes
3.Ngong road phase 2 (15km) 4 lanes
4.westlands to limuru superhighway (23km) 10 lanes
5.BRT phase 1 (50km)..contractors on site ready for the job
6.commuter railway..DMUs coming soon
Coming soon
1.overpasses at
*ngong road (two of them)
*valley road
*mbagathi road
*Enterprise road-CBD
2.Jkia-CBD railway line(Uhuru ako France Leo hii kwa hio deal yenye pia limuru-Nakuru-mau summit highway(2*2 lanes,178km) iko hapo)
3.BRT phase II
4.Dualing Eastern and Northern bypass
Ukishaona hivyo ujue route ya Dar to Abudhaab hailipi.Sasa hivi ATCL wangefanya makubaliano na etihad ili ATCL iende abu dhabi hata mara 3 kwa wiki,maana sasa hivi etihad aifiki dar,inaishia kunyaland hlf kq ndio inawaleta abiria wa dar
Asante kw kuachana na ile tweet ingine[emoji23][emoji23][emoji23]sisi nye nye nye madaktari tunawalipa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee hii dunia ya leo unasema neno sasa hvi dakika moja ushaumbuka[emoji3][emoji3]