Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,224
- 107,847
Ni kweli 👇Mzee una ufahamu kuwa Kenya inajenga barabara ya kufa mtu sasa hivi tunavyozungumza? Barabara ambayo ni aina yake Afrika nzima? Barabara ambayo inapatikana US, Germany au Japan lakini sio Afrika? Unafahamu hilo? Barabara linaitwa Nairobi expressway. Bonge la barabara.
Hii fukwe huwa inaniuma sana,ni moja ya fukwe kali sana endapo itasafishwa ipo katika location moja ya kinyama sana pamoja na ile ya feri
Kenya inajenga??!!!!!..acha uongo mungiki,huna uwezo wa ku-finance project kama hiyoMzee una ufahamu kuwa Kenya inajenga barabara ya kufa mtu sasa hivi tunavyozungumza? Barabara ambayo ni aina yake Afrika nzima? Barabara ambayo inapatikana US, Germany au Japan lakini sio Afrika? Unafahamu hilo? Barabara linaitwa Nairobi expressway. Bonge la barabara.
Kwani... Jirani huwa mnakimbilia wapi!? Life is easy take time to enjoy every bit of it all the time... wahenga walisema ..No hurry in Africa 🙂 they clearly knew "Haraka Haraka haina Baraka.Hii marathon tayari tunajua ni Wakenya ndio watashinda kuanzia nambari moja hadi ishirini. Mlazy wa kwanza atakuwa nambari mia moja.
Nakataa kabisa.Iko hv hakuna infrastructure ipo kenya zen Tz haipo ila kuna infrastructure zipo Tz kenya hamna unakubali unakataa.
Huwa najiuliza mpk kesho na sipati jibu, hivi Wakenya walitumia vigezo gani kusema wako mbele ya Tz kwa miundombinu mbn uchafu wa miundombinu uliojaa Nairobi siuoni Dar?
Ndo mana nasisitiza wakuu tuanze ku publish upya kunako mitandaoni cz Wakenya washakubali kwamba walikuwa wanajidanganya ss umefika muda mambo yawe hadharani ili foreigners hususan wazungu waondokane na ile dhana eti Kenya ni the most developed country in the region, huu ni uongo sn.
Tanzania is now more developed country than Kenya ktk mambo mengi na wenyewe Wakenya wameshakubali si mnaona hata Wakenya wa humu Jf cku hz wanakimbia nyuzi kwa kisingizio eti tunajisifia utoto lkn Wakenya hao hao utawakuta wamejazana kwenye nyuzi zinazoonesha kuwasifia japo kdg[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Inajengwa Kenya sio Tanzania. Wivu itakuuaKenya inajenga??!!!!!..acha uongo mungiki,huna uwezo wa ku-finance project kama hiyo
Leta comparison ya Thika road Tanzanialeta comparison ya Nyerere bridge Kunyaland!
Mzee una ufahamu kuwa Kenya inajenga barabara ya kufa mtu sasa hivi tunavyozungumza? Barabara ambayo ni aina yake Afrika nzima? Barabara ambayo inapatikana US, Germany au Japan lakini sio Afrika? Unafahamu hilo? Barabara linaitwa Nairobi expressway. Bonge la barabara.
mkuu hawa jamaa walikuwa ni midomo sana.. na wanajua kujimarket balaa
to be honest, kbla ya hii thread nilijua kenya imeendelea kumbe ushuzi mtupu