Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,178
- 107,766
iishe kwanza SGR central corridor, SGR kigali-Isaka, SGR Kigoma-Gitega na SGR Mtwara-Mbambabay!Ukiachana Uganda kuuunganisha sgr ya kisasa na Tanzania
Kuna Tanga Arusha Musoma Sgr nazani hii itakuwa root bora zaidi kwa uganda kupitia ziwani au mnaonaje hiyo?
Tunapiga kote kote
Yaani ukisoma comments za wakenya katika hizi twittes zao, ndio utajua ni kiasi gani wakenya walivyochoshwa na viongozi wao.The Mungikis have started to conceive...
Mtwara-bambabay itajengwa kwa PPP mean GOT haitogharamika Sana .iishe kwanza SGR central corridor, SGR kigali-Isaka, SGR Kigoma-Gitega na SGR Mtwara-Mbaambabay!
Funds r not there n the plan so far ni central corridor! Wacha mhemko huko tumieni MGR kwanza!Mtwara-bambabay itajengwa kwa PPP mean GOT haitogharamika Sana .
Musoma -arusha-tanga nayo imepangwa kujengwa through PPP..
Got in coming 5 years inakomaa tu na central basi labda na commuter kwa dar na Dom kama hawatatumia ubia maana hizo sijui..
Sasa Geza zinaingilianaje hapo ?
Kupitia Musoma na ziwani kwenda uganda ni shortest root kuliko hata Mombasa na kuuunganisha sgr central ni longest sema kwa modern SGR time itapunguza hicho kitu na ujue mizigo ya uganda 90% haipiti tz bado unazani kuuunganisha central line nao itabeba mizigo yao yote ?
Swali halikujikita kwenye nini kitekelezwe au kina tekelezwa lilijikita kwenye kuuliza output ya sgr ya Musoma to Tanga kama njia bikra kabisa na nyepesi kuliko zote atakazokuwa nazo uganda!!
Mtwara-bambabay itajengwa kwa PPP mean GOT haitogharamika Sana .
Musoma -arusha-tanga nayo imepangwa kujengwa through PPP..
Got in coming 5 years inakomaa tu na central basi labda na commuter kwa dar na Dom kama hawatatumia ubia maana hizo sijui..
Sasa Geza zinaingilianaje hapo ?
Kupitia Musoma na ziwani kwenda uganda ni shortest root kuliko hata Mombasa na kuuunganisha sgr central ni longest sema kwa modern SGR time itapunguza hicho kitu na ujue mizigo ya uganda 90% haipiti tz bado unazani kuuunganisha central line nao itabeba mizigo yao yote ?
Swali halikujikita kwenye nini kitekelezwe au kina tekelezwa lilijikita kwenye kuuliza output ya sgr ya Musoma to Tanga kama njia bikra kabisa na nyepesi kuliko zote atakazokuwa nazo uganda!!
Kwa mimi ninavyoonaUkiachana Uganda kuuunganisha sgr ya kisasa na Tanzania
Kuna Tanga Arusha Musoma Sgr nazani hii itakuwa root bora zaidi kwa uganda kupitia ziwani au mnaonaje hiyo?
Tunapiga kote kote
Vuteni subra kwanza muache papara! hata Dar-Mwanza haijaisha tayari mshaanzisha argument nyingine!SGR ya Tanga-Arusha-Mara itaifungua sana bandari ya Tanga kwa nchi za Ug, S.Sudan, Rwanda na Burundi.. pia itafungua utalii zaidi kwa nothern circuit.i.e Kilimanjaro, Arusha na Serengeti.
Kwa maoni yangu Tanga, Arusha hadi Mara ibaki hii MGR ila waiboreshe kama walivyofanya ya Central Corridor, iwe Continues welded na wanunue trains za kisasa sana, labda wanaweza kuiwekea umeme. Sioni faida kwa route hiyo kuwa na reli mbili Parallel kwasaba sehemu kubwa ni matumizi ya ndani ya nchi, Uganda watahudumiwa vizuri tu na Central Corridor.SGR ya Tanga-Arusha-Mara itaifungua sana bandari ya Tanga kwa nchi za Ug, S.Sudan, Rwanda na Burundi.. pia itafungua utalii zaidi kwa nothern circuit.i.e Kilimanjaro, Arusha na Serengeti.
Yeah hata mimi naona Dar-Arusha via Tanga iwe jointed /welded...ili speed ifike hata 80km/hr plus good trains hapo toursim itazidi kuwa improved..Kwa maoni yangu Tanga, Arusha hadi Mara ibaki hii MGR ila waiboreshe kama walivyofanya ya Central Corridor, iwe Continues welded na wanunue trains za kisasa sana, labda wanaweza kuiwekea umeme. Sioni faida kwa route hiyo kuwa na reli mbili Parallel kwasaba sehemu kubwa ni matumizi ya ndani ya nchi, Uganda watahudumiwa vizuri tu na Central Corridor.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kwa maoni yangu Tanga, Arusha hadi Mara ibaki hii MGR ila waiboreshe kama walivyofanya ya Central Corridor, iwe Continues welded na wanunue trains za kisasa sana, labda wanaweza kuiwekea umeme. Sioni faida kwa route hiyo kuwa na reli mbili Parallel kwasaba sehemu kubwa ni matumizi ya ndani ya nchi, Uganda watahudumiwa vizuri tu na Central Corridor.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Vuteni subra kwanza muache papara! hata Dar-Mwanza haijaisha tayari mshaanzisha argument nyingine!
hawawezi kukubalia watu wanakurupuka tu na kuja na scenario zao! hata kama watajenga SGR toka Tanga kujoin central corridor na Tanga port via Ruvu can make a more fast impact compared to isolated Tanga-Arusha-Musoma!Kwa mimi ninavyoona
Maybe after 10 years or even 20..the ecomomy of Uganda even Tanzania ni ndogo ku return profit na hizo SGR mbili...SGR ya Dar -Mwanza via Lake to UG au hata kuunganisha kwa Kagera is feasible for now na hata miaka 50-100 ijayo...
Tanga-Musoma ..inahitaji kuwa na demand kubwa kwanza kwa Tz kama Tz kabla ya kufikiria UG...
Naona central corridor..ikiisha na kuunga kwa Kigali na Bujumbura ..hii SGR itaanza kuleta faida za maana...plus kuunga kwa DRC itakuwa muhimu..
Mbamba bay- Mtwara na yenyewe ni feasible cause ya Madini ya Chuma ya Liganga na Coal ya Mchuchuma ...kama vitaungwa na Pia na Malawi kwa kiasi chake ...ita stimulate pia mazao ya Korosho kusafirishwa na viwanda ukanda huo
Tanga should use reli iliyopo sasa..labda cha maana iwe jointed kama Dar -Isaka..iwe revamped..kufikia speed ya 70-80km/hr k..kipande cha Dar-Tanga to Arusha hii itasaidia usafir nothrern zone ..pia mzigo na utalii kabla ya ku over spend kwa SGR hta kama ni PPP
Gwajima katumwa nini kuikosesha CCM jimbo la Kawe? mbona asianze kwanza na waumini wake kuwapeleka US?
[emoji3][emoji3][emoji3] daah !!! utani mwingi,,,,,Gwajima katumwa nini kuikosesha CCM jimbo la Kawe? mbona asianze kwanza na waumini wake kuwapeleka US?
Katika jambo lililonishangaza ni hili CCM kumputisha Gwajima, huyu jamaa ni hovyo na aibu kubwa kwa CCMGwajima katumwa nini kuikosesha CCM jimbo la Kawe? mbona asianze kwanza na waumini wake kuwapeleka US?
Mimi simpendi Halima mdee kutokana na fujo zake na tabia yake ya kujifanya mjuaji na kutokuwa na hekima za uongozi, ila kwa Gwajima, ni bora tu apite Mdee.Gwajima katumwa nini kuikosesha CCM jimbo la Kawe? mbona asianze kwanza na waumini wake kuwapeleka US?