Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ni kweli ichoboy01 NDINDA Annael Geza Ulole tuusan Simon game over babayao255 Tanzanianist Mgagaa na Upwa spencer

nawengineo wakuu tuna shughuli zinazotubana lakini kwa hili kuhusu mipango miji tufanye jambo
 
Hehehe, huyo jamaa sijui hata kama ashaenda hata Darasa moja,
Yaani ana Akili ndogo balaa, Ni Mpumbavu na hafundishiki, Imagine hata vitu vidogo hivi hawezi kureason,
Na ndio majority of Kenyans wako hivi
Wakenya wengi hata fb na twitter,wanasema wako mbele ya TZ kwa kila kitu,nikiwauliza wataje wako mbele kwa kitu gani,wanakimbiaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ yaani wajinga kweli.
 
Good,

Uzi uanzishwe kule kwenye jukwaa la habari mchanganyiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…