Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,610
Kwa dodoma zile zote zinazoingia au kutoka dodoma jiji, zitapigwa njia nne kwa umbali wa 50km each.Yes nmeona,kutoka Dodoma DAR road km 50km inatanuliwa
Tengeru-moshi-Holili 83km nayo inatanuliwa njia nne..
Mwanza nao watajengewa flyoverView attachment 1560917
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Dodoma sasa siitakua bomba BalaaKwa dodoma zile zote zinazoingia au kutoka dodoma jiji, zitapigwa njia nne kwa umbali wa 50km each.
Na Ukiangalia reli za mjini wanaanza hapo Dom,
Mambo ya made in Tanzania....Mipira inatengebezwa na kiwanda cha bidhaa za ngozi cha mwekezaji wa ndani kipo pale Moshi. Hapo si maanishi kile kiwanda kingine cha bidhaa za ngozi ktk gereza la Karanga Moshi pia..
Bila shaka ni mifumo na kazi ya yule bosi wa zamani.hili gari la kulia, kumbe juu ina solar
Hapo watatisha sanaMkuu nasikia ndio mpango huo, kuna barabara nyingi hasa zinazoingia kwenye majiji tetesi ni kwamba zitapigwa njia nne.
Daaah,inapendeza hyo convoy..hili gari la kulia, kumbe juu ina solar
View attachment 1561001
Hiyo ya makutano ya alli hassan mwinyi na kinondoni kama itakuwa ndio clip iliyokuwa inatembea kipindi fulani patatisha.
Ukipata iweke humu tuwatishe hawa makoko [emoji3][emoji3]Hiyo ya makutano ya alli hassan mwinyi na kinondoni kama itakuwa ndio clip iliyokuwa inatembea kipindi fulani patatisha.
Duh, nilisikia ccm imefutwa mwanza, sasa mbona mapokezi yanaonekana kujaa kushinda mkutano wao.hili gari la kulia, kumbe juu ina solar
View attachment 1561001
Ilishagazunguka sana humu.Ukipata iweke humu tuwatishe hawa makoko [emoji3][emoji3]
siasa tuiweke pembeni mkuu,,,,,tuthamini lengo la uziDuh, nilisikia ccm imefutwa mwanza, sasa mbona mapokezi yanaonekana kujaa kushinda mkutano wao.
Hizo ni dalili za usupa pawa.Daaah,inapendeza hyo convoy..
Lets..see i hope wataacha na phase 5 inajemgwaBRT watapiga hadi phase 4, nahisi phase 4 wataacha inajengwa,
Sasa TCAA DG Hamza aliposema on basis of reciprocity they have also cancelled the flights from Kenya alimaanisha nini? Man this thing is more than one sees with naked eyes! U talk of BASA as pronciple argument but there r things like route lot allocation n landing permit need to be sorted out!Tatizo lako Geza ulole wakati fulani unapenda kuzungumza vitu toka kichwani mwako bila ushahidi wala uhakika wowote ule, mkurugenzi mkuu wa ATCL alishatoa maelezo kuhusu route ya Nairobi, wewe haya unayosema yametoka wapi?
Hivi unajua sheria na taratibu zinazotumika wakati wa kuingia makubaliano ya kuruhusu ndege za nchi fulani kutumia anga na viwanja vya ndege vya nchi nyingine?, sheria inasema lazima kuwe na usawa, kama ndege za Kanya ziliruhusiwa kuja TZ, basi ni lazima ndege za Tanzania kuruhusiwa kwenda Kenya, lakini hiyo haina maana kwamba hakuna kuomba kibali, lazima nchi iombe kibali
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Ukisoma ilani vizuri brt phase 5 ni mwaikibaki inayopanuliwa anytime soon 9.1km nazani watacha ikianza jengwa Ila phase 2,3,4 hizo kabla ya 2024 zinaweza kuwa Zina operate Maana tender ambayo bado hapo n phase 4 tu na mwakani kwenye 2021/22 kabla first quarter haijaisha watakuwa washatangaza nazani if all go wellLets..see i hope wataacha na phase 5 inajemgwa