toptorn
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 1,224
- 3,057
Bibie tangu utoe ile pic yenye kunitoa udenda umekua jingajingaAccording to your report KQ own 23 planes
Alafu siku zote zuka hujibiwa kimathogothanio![]()
Bibie tangu utoe ile pic yenye kunitoa udenda umekua jingajingaAccording to your report KQ own 23 planes
Alafu siku zote zuka hujibiwa kimathogothanio![]()
Heheheheheeee tumeshaanza kufikiria uchumi wa juu



Mkuu now ni half time vijana wng wa jangwani wanatufurahisha wananchi, uwanja umependeza njano tupu kudadadeki no red hapa cz no danger here (corona) Yanga raha sn wallahi Tz km ulaya aisee watu wengi mno ustaarabu kwa kwenda mbeleAisee kumbe ligi yetu inapiga hatua sana. In recent days nimeona mpira wetu unatrend sana Africa. Cheki wapopo wanashangaa vyuti vya Yanga, wakiwish one day clubs zao zifike hapo. Sisi tunachukulia poa aisee.



Mm ningalikuwa na uwezo ningaliihamisha hii nchi tusipate kuwa karibu nayo yn ni afadhali tuwe karibu na wahabeshi kuliko hawa watu ni wabinafsi mnoo yn ktk jambo ambalo naona ni mkosi kwa nchi yetu basi kuwa karibu na kenya ni heri kuwa karibu na Afghanistan kuliko kuwa karibu na hawa wasenge wanaojiita Wakenya.I came to realize that this late
Dah yaani Ukisikia akili visoda ni wakenya, wana IQ ndogo kichizi, mbaya ni kwamba hawajashtuka
A voice from the Patriot manWakuu leo nimetoka TRA kulipia mzigo wangu toka China, katika kodi nilizolipa ni "Railway Development Levy", nikaambiwa hiyo ni kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya reli hapa nchini, ni 1.5% ya thamani ya mzigo.
Japo nimelipa pesa nyingi Sana, lakini moyo wangu ni mweupe kwasababu ninajua pesa yangu inafanya kazi, pia inaiwezesha serikali yetu kuachana na mikopo isiyokua ya lazima. Viva Tanzania, Magufuli hoyeeeeeeee



KQ kwenye game kitambo na walidominate soko walifanikiwa kulipia full ndege 3 out of 20. Kazi kweli kweli . Halafu uhuru kwa nini angekuja mwenye wakifanya meeting na mkuu mambo yanaisha maana watu wengi hapo wanakosa ajira kwa KQ kutokuja tz . Sipati picha wafanyakazi na masupplier wa KQ wanavyo hussle
tena ndege hzo tatu ni chakavu hazina mfano😀😁😁 miaka 50 wapo kwenye sokoKQ kwenye game kitambo na walidominate soko walifanikiwa kulipia full ndege 3 out of 20. Kazi kweli kweli . Halafu uhuru kwa nini angekuja mwenye wakifanya meeting na mkuu mambo yanaisha maana watu wengi hapo wanakosa ajira kwa KQ kutokuja tz . Sipati picha wafanyakazi na masupplier wa KQ wanavyo hussle
Kiwango sana bro