Hzo ni assumptions tu, lkn kw ground hyo idadi haifikiKuna jamaa amenibishia humu kwamba,Kenya meat commission ndio kubwa,baada ya kumdhibitishia,amepotea, yaani,Athi river na Mombasa plants,Inachinja na kuchakata ngo'ombe,mbuzi na kondoo 3,250 tu kwa siku,wakati yetu ya TZ ni 5,500 kwa siku kwa aina ya mifugo yote!
Mimi sio mjinga Kama wewe,huwa na argue na facts na sio kujaza server,wewe leta ushahidi kupinga argument yangu.sina mda wa kujibizana na jinsia yenye tundu moja katikati. I warn you once again,usijaribu kuni quote Kama huna facts please!Hzo ni assumptions tu, lkn kw ground hyo idadi haifiki
Ile siku utajua maana ya design capacity na demand capacity ndio utaelewa hayo mamboHalafu watakuambia wanatuzidi kwenye uzalishaji wa maziwa pia [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
So facts ni twitter sio, hahahaa!!naona umetema povu sana..Mimi sio mjinga Kama wewe,huwa na argue na facts na sio kujaza server,wewe leta ushahidi kupinga argument yangu.sina mda wa kujibizana na jinsia yenye tundu moja katikati. I warn you once again,usijaribu kuni quote Kama huna facts please!
ni kweli kabisa,tumepoteza sana mapato ..Tujiulize hv hii reli kwa miaka yote 20 ambayo haikua ikifanya kazi tumepoteza kiasi gani!!Sawa imefufuliwa ni jambo la kheri ufanisi wake Ni kitu cha kulindwa sana,Tusiwe watu tunaoharibu alafu tukirekebisha tunajipongeza tena kama mazuzu
Zamani ndio walikua wanatumia kigezo cha upana wa reli wakimaanisha SGR, lakini siku hizi neno SGR limebeba maana tofauti, ukisema SGR watu wanategemea kuona " Very modern, electric. Fast and very Comfortable train", sio huo ushuzi wenu.Sgr ni upana wa reli na sio train. Wewe ni mshamba sana. Kuna Sgr ya diesel na kuna Sgr electric lakini zote ni sgr. Kama hujui Sgr ina maana gani sema uelezewe.
Kuna jamaa amenibishia humu kwamba,Kenya meat commission ndio kubwa,baada ya kumdhibitishia,amepotea, yaani,Athi river na Mombasa plants,Inachinja na kuchakata ngo'ombe,mbuzi na kondoo 3,250 tu kwa siku,wakati yetu ya TZ ni 5,500 kwa siku kwa aina ya mifugo yote!
Unapingana na facts? Saa zingine huwa sikuelewi. Facts ni facts na wewe huwezi kuibadilisha.Zamani ndio walikua wanatumia kigezo cha upana wa reli wakimaanisha SGR, lakini siku hizi neno SGR limebeba maana tofauti, ukisema SGR watu wanategemea kuona " Very modern, electric. Fast and very Comfortable train", sio huo ushuzi wenu.
Tuliza mshono wewe, nimekuambia hiyo ndiyo maana halisi ya SGR, ila siku hizi imebeba tafsiri tofauti, hatutegemei SGR trains ziwe very slow and old modern japo zina upana wenye viwango vya SGR.Unapingana na facts? Saa zingine huwa sikuelewi. Facts ni facts na wewe huwezi kuibadilisha.
Standard-gauge railway - Wikipedia
Alafu wehu fulani wanaweka mchuma juu ya jengo na kusema wanajengo refu