Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_0778.jpg
 
Kenya kupiga ngeli sio ajabu, kw sababu tangia chekechea lugha inayotumika sana ni kingereza..
Sasa wewe unaotakiwa kuwashangaa ni hao wadada wenu wa chuo, manake sasa ukiangalia mfumo wenu wa elimu english inakuja part2..kiufupi wao ndio wanashobo na kingenge
Ila imegundulika huwa hamuogi, Dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Meanwhile at kibera baby mkenya yoyote atafute video ya jijini dar-es-salaam angalau inayokaribia haya mazingira Nampa $120 chap
Kiukwel hawa jamaa wala hawa staili kuongelea mambo ya slums badala yake wakeme serikal yao iwasaidie kutoka katik hili shida.....the man was cry...
 
[emoji23] Angalia hapo juu utaoana Dar CBD ilivyo nzuri.
Tatizo ndinda we unataka kuzuga tu, uliambiwa lete hivi wewe bado unavutia upande mwngine..
Anyway, si mbaya pia km dar cbd ni patupu
 
Back
Top Bottom