[emoji23][emoji23][emoji23]Wakenya wabadili shule na kuwa banda la kuku Corona inawafinya kisawasawa hawa.
======
Businessman turns school into poultry farm as Covid-19 bites
Source: K24 TV https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/36302508/
Mambo wasiyoyapenda yameiva🙂
Naona uyo anaungana n mm ...kweny kuiona mogadishu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] The true Face. Hii Video na Ile Ya Upper hill tuzitunze vizuri for Reference.
View attachment 1532950
View attachment 1532951
View attachment 1532952
Nyie ndio mnachimba msingi kumbuka...hadi nkamilishe mtakua mmeshika adabuWait for Nairobi expressway itakuwa hadi 16 lanes,hii ya cairo itakuwa shadow
View attachment 1532334
Kwani wewe hujawahi jiuliza kwa nini hawa wakora wanapost picha za jengo moja moja? Wanajua ukweli kwamba jiji lao limechoka. Kama Bongo pia tukiamua kupost picha za jengo moja moja mbona tutajaza server! Kabla ya kwenda Nairobi nilikuwa nadhani kwamba ni bonge la jiji lakini baada ya kwenda kutembea huko nikajikuta nacheka mwenyewe tu maana kelele nilizokuwa nasikia humu kuhusu hili jiji nilidhani kweli ni bonge la jiji.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakija hapa wanatusumbua wanakelele kinoma,,,,,kumbe jiji lenyewe in reality ni bayaa yaani limechakaa ni chafu ,,,wakija na aerial view zenye make up [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mkuu umewavua nairobi ni vituko na hizo nganya zao
wame lioverate sana .......jiji lao ni kituko ,,,ukitizama picha zao ndiyo kabisa yaani wanakaa angle nzuri na make up za kutosha kama hujatembea utasema dah kweli nairobi ni safi na ni bomba ...Kwani wewe hujawahi jiuliza kwa nini hawa wakora wanapost picha za jengo moja moja? Wanajua ukweli kwamba jiji lao limechoka. Kama Bongo pia tukiamua kupost picha za jengo moja moja mbona tutajaza server! Kabla ya kwenda Nairobi nilikuwa nadhani kwamba ni bonge la jiji lakini baada ya kwenda kutembea huko nikajikuta nacheka mwenyewe tu maana kelele nilizokuwa nasikia humu kuhusu hili jiji nilidhani kweli ni bonge la jiji.
Kwa makazi ya namna hii mjadala wa slum uishe, huwezi kulinganisha huu uchafu na makazi ya watu wa hali ya chini waliopo DSMHii video ina naisha halisi ya hawa [emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]
Hili soko linafanana na lile la Ndugai.
Duh wakenya wamejazana kwenye mbukinya hadi wengine wamepanda juu kwenye carry!!!🤣🤣🤣😀😀..tatizo ni exposure kwenye public transport huwa tunasimama hata tukiwa tokyo..Mr wanjala bwana, hebu define basi ( Village Mentality)
Je ni kuhusu Hawkers?
Hata kwenu wapo
View attachment 1531956
View attachment 1531957
View attachment 1531958
View attachment 1531959
Kujazana kwenye Bus? Noma sana kuja jiji la First word nilikua sihangaiki kushikilia popote nimebanwa mpaka nafika na support ya walionikandamiza .
View attachment 1531971
View attachment 1531972
But you are someone from here?
View attachment 1531985
View attachment 1531986
View attachment 1531987
View attachment 1531989
View attachment 1531990
We masikini acha kubishana na watu wenye expo zao..we toka uzaliwe uko mombasa tuu halafu unataka kubishana,ninyi wakenya mna akili gani!?Hyo ni brt?
Hata hzo hzo metro trains huwezi kuta ushuzi wa kubanana katika nchi za maana
Face lifting....viaduct with cable bridge[emoji91][emoji91]View attachment 1533087View attachment 1533088
Kama la dodoma
kuna siku nilimwambia mmoja wao humu, kwamba kwa sasa hamna vitu vya kuringanisha tena.Umeona hizo red pavement Bricks pembeni? Hizo zinaanzia Pale Uhuru Heights , Bibi Titi Mohamed Road yote mpaka Nkuruma Street inapakutana na Msimbazi street pale Kamata.
Ndugu zetu wameweka pale juzi CBD yao wakaanza kusema Itachukua Karne kwa Bongo kufanya hayo au Nairobi haina wa kulinganisha nae tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
View attachment 1533127
View attachment 1533128
Heheheee!!tena hta tangia sijazaliwa nlikua bado nipo mombasaWe masikini acha kubishana na watu wenye expo zao..we toka uzaliwe uko mombasa tuu halafu unataka kubishana,ninyi wakenya mna akili gani!?
Utapuuzwa tu[emoji23][emoji23]hiki ndiyo mnachotutambia hapa....
mkome na msirudie tena kushindana na dar na hako kajiji kenu chakavu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usisahau walivyo anza kuweka izo sidewalks zao wakasema tutaiga miaka kadhaa badae[emoji23][emoji23][emoji23] yani hawa walikuw kweny giza totoro[emoji23][emoji23][emoji23]Umeona hizo red pavement Bricks pembeni? Hizo zinaanzia Pale Uhuru Heights , Bibi Titi Mohamed Road yote mpaka Nkuruma Street inapakutana na Msimbazi street pale Kamata.
Ndugu zetu wameweka pale juzi CBD yao wakaanza kusema Itachukua Karne kwa Bongo kufanya hayo au Nairobi haina wa kulinganisha nae tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
View attachment 1533127
View attachment 1533128