Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi have slums but unless someone takes you there you will never see them. You will always find Nairobi to be a world class city.
You will never find shanties in the CBD or other business districts. Hizo picha mnajiliwaza nazo endelea.
View attachment 1531352

View attachment 1531356
View attachment 1531359
View attachment 1531363
View attachment 1531369
View attachment 1531374
Nairobi is not even close to be world class city,Stop embarrassing yourself, is this nairobi your talking about?
tapatalk_1596201278658.jpg
 
Hahahahahah....km kweli pimbi kama ww unaweza kulipa elfu 3000 ya kodi pale kibera na umefika apo ushuzi upperhill nionyeshe mabadiliko ya hiii ujinga serikali yenu inafanya...ww ni pimbi km wengine na maskini wa kutupwa....View attachment 1531390
Juzi nlikuletea link ya bei ya mijengo upper hill ukakimbia
Nilete tena na wewe ulete za masaki
 
Hili la kuminya taarifa za COVID-19 hapa Tz sijawahi kuona faida yake.tunajua katika 100 watakaopata 81 hawataonyesha dalili zozote ,14 wataugua na kupona na 6 ndio wanaweza kupoteza maisha au kupata severe attack lakini kuminya info ili mambo yaonekane yameisha ni upuuzi

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Unapotoa taarifa una-create hofu na taharuki kwa watu,unajua kifo wengi wanakiogopa sasa mtu akijua ana corona na huenda alikuwa na presha,au maradhi ya moyo ndo kwa heri hiyo..kwa hiyo kuficha taarifa ni jambo sahihi na serikali ilifaulu kwa hilo ...unakumbuka hata ukimwi unapoingia,kipindi hicho ukimwi ni deadly desease ilikuwa kama hukupima na huna habari utaishi miaka mingi,lakini ukithubutu kupima tu na ukajua unao yaani ndo utaandamwa na maradhi,misongo ya mawazo hadi kifo
 
Back
Top Bottom