Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Seems Hadi,kwa sababu aliyetoa matamshi ya kwamba itaanza ni Macharia,mpaka Sasa bongo hamna kiongozi aliyetoa tamko.inavyoelekea,Kuna masharti mapya na magumu watawekewa! Let's wait and see!

Naomba Mwenyez Mungu awajalie viongozi ujasiri huu huu mpaka uchaguzi uishe ndo tuwafungulie hawa nyangauuuuz
 
kijana uko na kichaaaa..sana..wewe...ulitaka nyuma yake nimekuonyesha..nashindwa kati yangu na wewe nani pumba?...hauoni ata hayo mawe yame chongwa kama hio jengo pamoja na kipande kiasi chake kimetoka apo kwa juu ya picha iko kama sing'enge? wewe tabu..dont waste my time
Stupidy is stupidyif you cant show me here just pass like others...with this trush thing...pimbi km pimbi wengine
Screenshot_20200726-183313.jpg
 
hio si ukweli..may be unamaanisha uko nairobi downtown ndio wamo na pia watatolewa and relocated to another place along a road called kangundo road in a market called wakulima market due to construction of nairobi rail fly over
here are some of the photos and videos of nairobi cbd...ukiona mama mboga apo unionyeshe
View attachment 1525916
View attachment 1525918
View attachment 1525919
View attachment 1525920View attachment 1525921
View attachment 1525922View attachment 1525924View attachment 1525925
Kwani Wamachinga/Mama mboga Wanatatizo gni? Hutaki wafanye biashara?
 
kijana uko na kichaaaa..sana..wewe...ulitaka nyuma yake nimekuonyesha..nashindwa kati yangu na wewe nani pumba?...hauoni ata hayo mawe yame chongwa kama hio jengo pamoja na kipande kiasi chake kimetoka apo kwa juu ya picha iko kama sing'enge? wewe tabu..dont waste my time
Kampuni ya stima nayo imetoa spider 🕸.
Acha uongo Huoni kwamba mtaa uliopost uko tofauti kabisa.
 
Hizi Habari kKenya wanazipata wapi?na balozi wetu huko Kenya anaona?...wanazisambaza duniani....Wakuu ama kuna mtu mwenye hii taarifa.
20200804_124319.jpg
 
Back
Top Bottom