Ppmosile
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 1,232
- 1,890
Tatizo la hawa majamaa wanachuki sana tangia mzee magu alipoingia madarakaniWameandika hyo habari kizushi sana.
Tatizo la hawa majamaa wanachuki sana tangia mzee magu alipoingia madarakaniWameandika hyo habari kizushi sana.
Shida ndo iko hapo.Wanafanya hivo makusudi ili ionekane Tanzania inaficha kuhusu corona si unaelewa media za kenya zipo mifukoni mwa wanasiasa.
Anawakamua mavi,zile hela hamna tena upande wao,vyuma vimekazwa mpaka huko..Tanzanite, Gold,kahawa,parachichi zote zimebanwa.Tatizo la hawa majamaa wanachuki sana tangia mzee magu alipoingia madarakani
Na hiyo media ina hasira na Tz maana kile kipindi walivyomkejeli JPM walipewa adhabu ya kuomba msamaha wiki nzima na channel yao kuondolewa kwenye kisimbuzi cha startimes hadi sasa hivi hiyo channel haijarudi.Shida ndo iko hapo.
Mwache ajitie ujinga pimbi uyuuKampuni ya stima nayo imetoa spider.
Acha uongo Huoni kwamba mtaa uliopost uko tofauti kabisa.




Mkuu nchi iliyo kosa mwelekeo utaijuaje walichobakiza mjungu yasiyo na kichwa miguu haijui iende wapi!.Hizi Habari kKenya wanazipata wapi?na balozi wetu huko Kenya anaona?...wanazisambaza duniani....Wakuu ama kuna mtu mwenye hii taarifa.View attachment 1526764
Ndo maana wanamchukia sana mzee maguAnawakamua mavi,zile hela hamna tena upande wao,vyuma vimekazwa mpaka huko..Tanzanite, Gold,kahawa,parachichi zote zimebanwa.
Aha kumbe channel yao ya KBC ilitolewaNa hiyo media ina hasira na Tz maana kile kipindi walivyomkejeli JPM walipewa adhabu ya kuomba msamaha wiki nzima na channel yao kuondolewa kwenye kisimbuzi cha startimes hadi sasa hivi hiyo channel haijarudi.
Sio hiyo ni ile citizen.Aha kumbe channel yao ya KBC ilitolewa
Umeanza kulialia tayari baada ya kuona hko hupaweziNyenyenye ...maskini maskini tuuu....![]()


Kenya inazidi kupaaa juu hongera Sana majirani
Ni ya moh dewijiHiyo ni bank ya wakenya au wahindi? Wivu umetoka wapi sasa hapo?
What are you trying to imply..Sorry i dont waste ma time over stupidy people...if this is your engineers what about kibera boykunyans is bunch of stupidy....dont waste ma timeView attachment 1526296View attachment 1526298View attachment 1526300