Walioshajaribu wenzako,wakalala mbele.This is all Dar. Waweza ukataja hizo places zote hapa
View attachment 1523068
Nyie ni maskini sanaaa....matajir wenu ni wageni ndio wengi....sasa mtafua dafu Tz ....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bwahaha!!naona umeshaanza jishuku shuku sasa..
Kwanza km ni chopper mbna kenya watu wwngi wanamiliki tu..hyo si big deal
Ni aibu snaaa mko hapa na kelel zote ila K/koo tu inawahenyesha.. .na hamna uwezo wa kuilipa...ndio mjue Tz ikoje na mind you ...hiyo k/koo inamilikiw na waswahili wenyewMbna wapinga
Labda mwenyewe utuonyeshe maeneo yafuatayo kama yapo kwenye hii pichaThis is all Dar. Waweza ukataja hizo places zote hapa
View attachment 1523068
Enyewe na zile uswazi that are about 80% of darLabda mwenyewe utuonyeshe maeneo yafuatayo kama yapo kwenye hii picha
Ubungo
Ilala
Kijitonyama
Chang'ombe n.k
Mkiambiwa Dar ni kubwa muwe mnaelewa basi.
Una uhakika gani km mm sie, hujui km Tz ndo pekee tuna dollar billionaire ukanda huu? Je km mm ndie huyo billionaire mwenyewe? Swali km hilo nkuulize ww mana kwenu hakuna possibility yyte ya kuwa na billionaire.Kwn wewe ni billionaire mpka uwajue
Huu ndio uanaumeNgoma ya watot haikeshi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mwana kulitafut mwana kulipata[emoji23][emoji23][emoji23] Magu Magu kama MaguView attachment 1523338
Hii ndio ile uswaz ya ubungo, ilala, na kijito nyama respectively[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji382]Enyewe na zile uswazi that are about 80% of dar
Wamezoea kuichezea chezea Tz [emoji3][emoji3]Magu kiboko yaan hili swala la kupiga [emoji777] KQ limetolewa ucku sana hvyo kwa abiria wanaotoka Kenya waliotakiwa waje TZ leo basi lazima wakiamshe kwenye Airport yao kenya. Mamaeee mbona KQ itawanunulia chai ya asubhi...wanakwambia ukiyataka ya POPO basi Sharti ujue Kuning’inia
Huu mwezi korona inaanza kuteketeza Kenya rasmi noti mayi wuuudi ,lazima mtalia na kusaga meno ndipo mtakapo kili kuwa tz ni taifa kuu lililo jaa NEEMA NA REHEMAEndeleeni kujishuku tu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]nyani inauwawa kwa kuvishwa mask kwanza.Magu kiboko yaan hili swala la kupiga [emoji777] KQ limetolewa ucku sana hvyo kwa abiria wanaotoka Kenya waliotakiwa waje TZ leo basi lazima wakiamshe kwenye Airport yao kenya. Mamaeee mbona KQ itawanunulia chai ya asubhi...wanakwambia ukiyataka ya POPO basi Sharti ujue Kuning’inia
Unajua magu hii kQ alikuwa haipendi sema basi tu alikuwa anashindwa afanyeje,sasa kapata sababuMagu kiboko yaan hili swala la kupiga [emoji777] KQ limetolewa ucku sana hvyo kwa abiria wanaotoka Kenya waliotakiwa waje TZ leo basi lazima wakiamshe kwenye Airport yao kenya. Mamaeee mbona KQ itawanunulia chai ya asubhi...wanakwambia ukiyataka ya POPO basi Sharti ujue Kuning’inia
Hayo ni majengo 18 tu Nairobi yote inamajengo ya gorofa juu ya gorofa 6 yasiyo zidi 80 kama mnabisha leteni picha tu hesabu.Your dem right...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji382]View attachment 1522921
Marekani imekubari kuwa tz kuna uongozi strongUS wanaturuhusu kuingia nchin kwao ila kenya jiran haturuhusiwi??
The handful of countries still welcoming US tourists