Kijito nyama beibyUsije na akil za kitot kwang ...niambie tu unahitaj kuona maeneo mengine zaid ya hayo...na nipo hapa kukupa bilashaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]chukua hizi kinondoni,Ubungo na futurelistic CBD kijito nyama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji382][emoji382]View attachment 1518783View attachment 1518784View attachment 1518785View attachment 1518786View attachment 1518789View attachment 1518791
KabisaUmeonyesha uzaifu snaaaa ....usijarbu kujipima na heavy weight km DSM....bakini na Jiidiiipiii yenu for meantime....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji382][emoji382][emoji382]
Hapangiwi cha kusema, km mwenzake tu kapima mapapaiHanisi kabisa huyu mlevi
tengenezeni mikangafu hio 👇👇Hapangiwi cha kusema, km mwenzake tu kapima mapapai
Nimecheka sn aisee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]nasikia kuna helicopter mbovu ya jeshi la kenya imeshindwa kuja Tanzania, mtwara kwa ajili ya mazishi
Hii ndio plan au?[emoji16][emoji2956]
View attachment 1519644
Endelea kusikianasikia kuna helicopter mbovu ya jeshi la kenya imeshindwa kuja Tanzania, mtwara kwa ajili ya mazishi
[emoji116][emoji116][emoji16][emoji2956]
View attachment 1519644
Hii ndio plan au?
Hiyo mikweche yao tukiwaambia ni uchafu hawaskiikuna picha moja kama hii matata ipo DTB bank mliman city ofis ya manager... picha ya ukweli balaa.. nimeshindwa tu kuipiga mana ni sehem za watu hizo
Yaani katika pic zote zilizokali ndo hiikuna picha moja kama hii matata ipo DTB bank mliman city ofis ya manager... picha ya ukweli balaa.. nimeshindwa tu kuipiga mana ni sehem za watu hizo
Ni ndege yao imefurumushwa pale JNIA haikurusiwa kwa sababu za kiusalamanasikia kuna helicopter mbovu ya jeshi la kenya imeshindwa kuja Tanzania, mtwara kwa ajili ya mazishi
ltakuwa hivyo kwa sababu maafisa wa TZ wanasema ni Hali mbaya ya hewa,huku wakenya wakisema ni hitilafu ya ndege.Ni ndege yao imefurumushwa pale JNIA haikurusiwa kwa sababu za kiusalama
Aisee inakaa speech ya jana ya Uhuru imeleta maneno!Ni ndege yao imefurumushwa pale JNIA haikurusiwa kwa sababu za kiusalama