Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pesa ziko chato,haitakaa imalizike maana pesa zote zinaingia hazina tofauti na awamu zilizopita mashirika yalikuwa yanatunza pesa zao kwenye benki wanazopenda wao ili wasiingiliwe na kukwamisha utekelezaji wa mipango yao kama huu mradi
Alaf usiwe unaniquote mim maana wew umekaa kisiasa tu sis hatuko huko postive na negative tunaziongea ila sio kisiasa
 
Nani hajui upanga,kadanganye mwingine
Ungeijua usinge leta upimbi wa kuifananisha na kinondoni..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 

Attachments

  • JamiiForums189535674.jpg
    80.4 KB · Views: 17
  • JamiiForums299753569.jpg
    76.4 KB · Views: 22
  • JamiiForums317525115.jpg
    79.5 KB · Views: 20
Pole sana, tanzania vs kibera[emoji122][emoji122]
Imeuma snaaa mpka umechanganyikiw [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji382][emoji382][emoji382]huamin kinachotokea...
Napenda nikipiga vitasa mpka mtu anapoteza mwelekeo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji382][emoji382][emoji382]View attachment 1518764
 
Huna hadhi ya kujadili mada na watu na akili zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…