Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hatimaye Tundu Lissu amerejea nyumbani, na kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu amefika salama inshallah.

Lengo langu hapa co kuripoti ujio wa Tundu Lissu la hasha bali ni kuwaonesha Wakenya na dunia kwa ujumla jinsi gani mazingira ya Tz yalivyo ya kuvutia lkn pia kuwaonesha kwamba Tz hakuna corona, angalia hata viongozi wa upinzani waliokuwa wakipiga kelele za lockdown nao pia leo hawajavaa barakoa, hata Lissu mwenyewe hajavaa barakoa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116][emoji116]


Cc: Zigi Rizla Nicxie mwaswast Edward Wanjala komora096 Teargass

Nadhani utata umeisha ss, nyie endeleeni kupambana na corona ila mcpambane na taifa teule [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nmecheka Sna
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pamoja na vitisho vyote vya policcm bado watu wameenda kumpokea mwamba,tunamsubiri huku mikoani tumdekie barabara
Hakuna kama Lisu mtetezi wa haki na shujaa wa kweli wa kunyoosha Yesu wenu wa hapo Lumumba
 
Endelea kujitahidi kujitoa ufahamu, ytafanikiwa tu

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Hahhaha kwenu simapimbi ukwel unawauma....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji382][emoji382][emoji382].....jiandae kumia sanaaa[emoji23][emoji23][emoji23] best stima connection at upperhill[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vichak next to britam
 

Attachments

  • JamiiForums988097021.jpg
    41.9 KB · Views: 18
  • Screenshot_20200726-183313.jpg
    46 KB · Views: 14
Hahaaa!!hapa umefika, wamekuja wengi zaidi yako lkn wakadunda...
Tafuta lingine la kujitoa ufahamu tena, nakusubiriria

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Hahahhaha inaonekan hii kipigo hukuwai ipata mpaka unaleta kumbukizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji382][emoji382][emoji382]pole ...walikuw hawakupi ile kitu unapaswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…