Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapo ni demolition kuna Tower inataka kuamka hapo
 
Barabara za Upperhill zote sahi zimepakwa rangi. Jitulize na 2012. Lakini haina shida kujifariji. Wacha tuseme iko hivyo. Wabongo kweli akili zenu za kitoto sana. No wonder mko nyuma huku mkiwa na mali asili tele
 
Ukiachilia UAP, Prism tower , BRITAM, I mean ukitoa hayo majengo marefu . Kipi kingine mnaishinda au mmekaribiana na Sandton?

Maana inategemeana na Point flani of View.
 
Funga bakuli pita kulee....maneno yako pelekae pimbi wenzio ....unajib fact kwa maneno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji382][emoji382][emoji382]slum ....
Ndio rangi izi..ulimanisha?...watembea kwa miguu wanapita njia moja n magari....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji382][emoji382] ujinga mtupu
 
Mazeee!!yani hadi nashangaa, eti kisa ni yale mabati yaliyoviringwa na zile road side shops ndio wanajitetea ili wapoteze mada ya miundombinu

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Miundombinu gani unazungumzia we popoma wakati tunaona video kabisa CBD haina hata sidewalks??!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Au hujui miundombinu ni nini?!..miundombinu ni pamoja na sidewalks
 
Duh πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ€£πŸ€£ dampo hadi CBD?!!..aaah wakenya hamuwezani na dar,mkae nayo mbali
 
Ukiachilia UAP, Prism tower , BRITAM, I mean ukitoa hayo majengo marefu . Kipi kingine mnaishinda au mmekaribiana na Sandton?

Maana inategemeana na Point flani of View.
Umesahau kuachilia,kcb tower,4th ngong tower,upper hill chambers tower,Nssf towers,Rahimtula towers,wb towers etc,
 
mikia ya mkwere mnajisikiaje mnavoona juhudi alizofanya Mkapa kuiweka TZ on track only to be chewed by you barbarians. Now atawatokea moja baada ya mwingine kwa kuslow down juhudi zake. "LALA KWA AMANI BURIANI RAISI MSTAAFU WA AWAMU YA TATU"
Baada ya Nyerer rais mwingine atakayetikisa kwa kifo ni JK tu ,hawa wengine watu hatuna habari nao.Yaani msiba huu hadi wa Ruge ni ulikuwa mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…