Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alafu huyo fala anatakiwa ajue kwamba,hiyo ndege iliangushwa makusudi wakati Atcl lilipofanyiwa hujuma ili mashirika binafsi yabaki kwenye soko,na sio kwamba ilianguka bahati mbaya.
 
Kikubwa nikuwa hakuna Mtanzania Anakufa na njaa
Mimi Napoishi Mchele kilo ni Tsh 600 sawa na Ksh 27
Maharage Kilo 1600/sawa Ksh 72
Unga sie huku ni mahindi debe 7000
Sawa na Ksh 310
Hizo Karatasi zenu Sijui huwa mnazitoa wapi
So mkenya akija TZ na ksh 1000 atanyamazisha kila mtu,hahaha 😂
 
Kitu kipya na kimeanguka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio ujue mechanical problems haichagui..

Kisha eti ya zamani, mbna mnapenda kujifurahisha, atcl kafufua magufuli na ilikufa kitambo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…