Emporis - WikipediaKwanza tuzungumzie "credibility" ya hii source yako. Hii inaendelea kusema kwamba " Nairobi is the largest city between Cairo and Johannesburg". Ni wazi kwamba hii imeandikwa na mkenya ili kuisifia Nairobi. Inasema population ya Nairobi ni 1.3M wakati ni zaidi ya 4M, hii inaonyesha iliandikwa 1980s. Tafadhali Kanusha hii source kwanza ndio tuweze kuwa na "meaningful discussion "
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hii source si ya mkenya kindly research about it....alafu niambie jengo gani liko dar na bado halijatajwa apo