Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaota wewe. Skyline ya Nairobi imeishinda Dar na wala hakuna ubishi hapo. The 3rd tallest and the 5th tallest buildings are in Nairobi. Soon another one called GTC will be commisioned. Yaani kati ya majengo nane ndefu Africa Kenya itakuwa na tatu mwishoni mwa mwaka huu. 1. Britam towers (200 metres). 2. Global Trade Centre (184 metres). 3. UAP building (163 metres).

Tanzania ina mbilikimo kadhaa. Tanzania ports Authority HQ (157 metres). PSF commercial towers A and B (152.7 metres)

Leta ligi kwenye maeneo mengine lakini sio kwenye skyscrappers. South Africa tu ndio imeishinda Kenya kwenye majengo marefu. Ingawa kuna jengo moja matata huko Ethiopia ya 198 metres ambayo itakamilika mwishoni mwa mwaka huu. Ethiopia inaweza kutupea ushindani kidogo lakini sio nyinyi na majengo yenu mbilikimo.
Hatuongelei jengo moja moja ila tunaongelea skyline kwa ujumla. Halafu hiyo Addis Ababa ikashindane na Kampala labda.
 
Kusema kweli Makonda yuko vizuri huu ndio ukweli, Dar es salaam haijawahi kuwa known na safi kama kipindi cha huyu jamaa, mkuu wa mkoa wa sasa hata Jina simjui, hata sura tu, tuwe wakweli tuache unafiki Makonda ni mtu mbunifu sana sana na anafaa sana. He is known, mkoa kama Dar unatakiwa hivo, mtaniambia mkuu wa mkoa huyu.
Ulikuwepo Dar wakati meya ni Charles keenja?
 
Hatuongelei jengo moja ila tunaongelea skyline kwa ujumla. Wewe unaweza kuwa na refu zaidi ila mwenzio anayo mengi zaidi. Na sio kwamba ni mafupi, ni marefu sema refu zaidi unalo wewe. Kama unabisha chukua picha za mbali za juu zinazoonyesha kwa upana majiji hayo, then compare.
Wewe hujui maana ya neno skyline, building tatu haziwezi tengeneza skyline ya kutisha pengine kwenye ndoto tu.

Below ni skyline ya Nairobi na Dar.

tapatalk_1592741706256.jpg

6a00e5517ca267883401b7c7f5efe9970b.jpg
 
Kusema kweli Makonda yuko vizuri huu ndio ukweli, Dar es salaam haijawahi kuwa known na safi kama kipindi cha huyu jamaa, mkuu wa mkoa wa sasa hata Jina simjui, hata sura tu, tuwe wakweli tuache unafiki Makonda ni mtu mbunifu sana sana na anafaa sana. He is known, mkoa kama Dar unatakiwa hivo, mtaniambia mkuu wa mkoa huyu.

watabisha, lkn kajitahidi sana!.. jamaa ni showoffs nyingi lkn kazi anafanya sana
 
Ukweli nikwamba hawa nyang'au maisha kwao hayaendi bila kuongelea Tz....wanatafut tuonekan n kaubay flani....jiuliz3 Tz ilipoingia tu middle income walikaa kimyaa km hawapo Duniani....pipi hawa.....
Ukiona mtu anakuzungumzia sana wakati wewe ufanyi hvo..huyo mtu anakuhofia SANA.
 
Hadi takataka dar sikuizi zimerudi makonda ni mbumbumbu mzembe mji umeanza kuwa mchafu tena
Ni mzee wa kumwaga chai na kujipambanua na miradi ya JPM kuliko hata mawaziri wenyewe! Yaani mshikaji alijipambanua mpaka akawa substitute ya JPM mara aitishe mikutano ya Wazee was Dar mara afanye ziara ya kutembelea miradi anapotoka JPM anaingia yeye! Full promo!
 
watabisha, lkn kajitahidi sana!.. jamaa ni showoffs nyingi lkn kazi anafanya sana
Makonda ni mfano bora kwa kila kijana anaetaka kuwa kiongozi......yeye na Ali Hapi ninawatizama sana......ni kina Dr Kleruu wa wakati huu.
 
Hadi takataka dar sikuizi zimerudi makonda ni mbumbumbu mzembe mji umeanza kuwa mchafu tena
Mzee wa promo na kujipambanua kama mbadala wa JPM mara aitishe mkutano na wazee wa Dar, mara afanye ziara anapotoka JPM ali mradi a-trend huku suala la usafi bado! Ajiandae kukabidhi ofisi!
 
Hatuongelei jengo moja ila tunaongelea skyline kwa ujumla.Wewe unaweza kuwa na refu zaidi ila mwenzio anayo mengi zaidi.Na sio kwamba ni mafupi,ni marefu sema refu zaidi unalo wewe.Kama unabisha chukua picha za mbali za juu zinazoonyesha kwa upana majiji hayo,then compare.
My friend hakuna point ya mvutano I have all the data about the total number of buildings that exists all over the world including dar na nairobi. .so far nairobi has a total of 230 buildings and dar es salaam has a total of 104 building. .this includes building under construction, planned. .facts za dar ziko hapa it will show you everything hadi majina ya jengo Dar es Salaam,,Tanzania , nairobi ndio pia
Nairobi,,Kenya
 
Mwenye anataka kujua information kuhusu majengo yote ya Tanzania ama kenya fuatilizieni hili link hapa EMPORIS. So far Nairobi has 230 buildings na Dar 104 Nairobi imeshinda Dar mara mbili kwa mijengo. Kwa ujenzi Nairobi imelaza Dar hands down
 
ukiachana na mapungufu yake mengi, jamaa ni mzur kufatilia miradi ya serikali, i hope kweny zile nafas kumi atateuliwa kuwa naibu kumsaidia jafo TAMISEMI
Mkuu hata kama unajua kuongoza kuliko watu wote duniani lkn km unakosa nidhamu hufai hata kuongoza wanyama, hata km ww ni mchapakazi hodari duniani lkn km una kiburi na majivuno basi hufai hata kuwa karibu na jamii.

Nidhamu ndiyo msingi wa utu, wapo watz wengi tu wenye uwezo wa kuongoza kuliko hata yeye pia wana adabu sema wakati mwingine ni mambo ya riziki tu.
 
aawapi! Mradi wa Mbezi Luis bus stand na Machinjio ya kisasa vingunguti ni mpaka JPM alipomkurupusha! Sema ni mzee wa kucheza na media! Na kujipambanua na miradi ya Kitaifa alikuwa anani-bore kila JPM alipofanya ziara ya kukagua miradi naye huyo kimbelembele kuanzisha safari kama kujaribu kujipambanua na Mkuu wa Mkuu wa nchi!
hana lolote ni kiki tu tena ktk miradi mingi amefeli mana anachokiongea mara nyingi huwa hakitimii.
 
hana lolote ni kiki tu tena ktk miradi mingi amefeli mana anachokiongea mara nyingi huwa hakitimii.
Binafsi cmkubali kabisa kwasababu hana heshima, ana kiburi, wakati mwingine anatumia ofisi vby, ss huo ndiyo uongozi gn eti kisa ni mchapakazi kwa uchapakazi upi? Atupishe bhn ila km atapewa apewe tu mana ndo mambo ya rizki hayo huwezi pinga, but personally I don't like his leadership style.
 
mwenye anataka kujua information kuhusu majengo yote ya Tanzania ama kenya fuatilizieni hili link hapa EMPORIS . So far nairobi has 230 buildings na dar 104 nairobi imeshinda dar mara mbili kwa mijengo. Kwa ujenzi nairobi imelaza dar hands down
Ndo hili jungle hapa, huoni aibu, tofauti ya Dar na Nairobi ni pori mzee
tapatalk_1595279483870.jpeg
 
Back
Top Bottom