Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dodoma is sure as hell going to be on🔥 Apparently serikali baada ya kuona Kuwa imetumia BRT Dar, Dodoma wameplan kutengeneza tram system. Pia Dodoma kutakuwa na light rail kama iliyoko proposed Dar Es salaam. Mwenye link ya Full report ya JICA atuletee basi Maana mimi nimepata hii picha na quality yake sio nzuri. Nimejaribu kutumia magnifying glass ya simu nimeona kuwa the yellow lines Ndio tram ways na the blue line in the north is the light rail, the other blue line in the center is the SGR, and the pink part is where the Dodoma sgr station will be located.
 
Hivi TV za Tanzania pia zinafuatilia habari za Kenya kiasi hiki kweli?
Ukweli nikwamba hawa nyang'au maisha kwao hayaendi bila kuongelea Tz....wanatafut tuonekan n kaubay flani....jiuliz3 Tz ilipoingia tu middle income walikaa kimyaa km hawapo Duniani....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pipi hawa.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…