Justinr
JF-Expert Member
- May 22, 2020
- 3,709
- 6,832
JPM ni Nguzo yetu.....Hili ni chaguo pekee la MUNGU kwa watu wa taifa Teule la Tanzania.....wako wapi wale wajinga waliokuwa wanabeza, wanasiasa nao walitahadharishwa kutokufanya Agenda lkn Mbowe hakuskia...yuko wapi leo??Someni comments hapo chini muone ni kiasi gani wakenya wanavyompenda Magufuli
Ndio maana kirusi kinasambaa kwa kasi.Hawa jamaaa ni wanyama cyo binadam kabisa![]()
Dunia nzima hapo imempa Heko,kutokea.Someni comments hapo chini muone ni kiasi gani wakenya wanavyompenda Magufuli
Kuna mmoja alijaribu kumuiga akaishia ku deactivate mitandao yake ya kijamii![]()


Ile mizuka ya bangi ilikuwa inamfanya aone eti na yeye ana trend...walivoanza kumjambia mara paaaap

Alidhani kila kitu kinafaa kucopy na kupasteIle mizuka ya bangi ilikuwa inamfanya aone eti na yeye ana trend...walivoanza kumjambia mara paaaap
![]()



Wakenya wakisoma Comments toka duniani kote zikitaja na kusifia Tanzania kama hapa Chini, hasira zinazidi kuongezeka na wanaongeza kasi ya kumchafua MagufuliDunia nzima hapo imempa Heko,kutokea.
Mkuu hii kitu inawauma saana,lile genge lao la uongozi...wananchi wanatamani jamaa atawale mpaka huko kwao yaani.Wakenya wakisoma Comments toka duniani kote zikitaja na kusifia Tanzania kama hapa Chini, hasira zinazidi kuongezeka na wanaongeza kasi ya kumchafua Magufuli
inauma sana kwakweli.Wakenya wakisoma Comments toka duniani kote zikitaja na kusifia Tanzania kama hapa Chini, hasira zinazidi kuongezeka na wanaongeza kasi ya kumchafua Magufuli
na tutawapa.wametoka kuuliza tuwaonyeshe km 1, baadae wakauliza tuwaonyeshe km 100, saiz eti wanauliza reli bado haijaisha tu??
what’s next?? ikiisha watasema treni zenyewe ziko wap?![]()
na tutawapa.
ujue hawa ni kama mkeo akiulizia mimba,unampa tu.


tuwape tuu!Nchi ikikosa kiongozi huwa mwananchi ina mtouch sana.Kwetu ni baraka tuu za Mungu...hatuna budi kujipongeza na ku mpaisha Jembe letu JPM....Uhuru na Umoja wetu Utalindwa daima.inauma sana kwakweli.
Kenya Airports (@KenyaAirports) Tweeted:
Our team at Wilson Airport performed a water canon salute to welcome the @SkywardExpress flight ✈ after it touched down at the airport from Eldoret. The airline is currently serving our Ukunda, Mombasa, Lamu, Eldoret & Lodwar destination airports.
#InThisTogether
#KAACares https://t.co/PgV7dRu718 ()View attachment 1510156View attachment 1510157View attachment 1510158View attachment 1510159
Hamna uwezo wa kufungua anga nyie, tunajua njaa imewakamata lkn hamna jinc mtafunga tena anga cz nchi yenu imechafuka kwa corona.Kenya Airports (@KenyaAirports) Tweeted:
Our team at Wilson Airport performed a water canon salute to welcome the @SkywardExpress flightafter it touched down at the airport from Eldoret. The airline is currently serving our Ukunda, Mombasa, Lamu, Eldoret & Lodwar destination airports.
#InThisTogether
#KAACares https://t.co/PgV7dRu718 ()View attachment 1510156View attachment 1510157View attachment 1510158View attachment 1510159