Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hyo ishu ya peak hours na nairobi ni tofauti kabisa..
Hilo najua miji mingi sana sana afrika hilo bado ni tatizo..lkn kuuelewa mfumo wa nairobi lazima uje ukae ndipo utaelewa km mambo yanaendaje..

Kamwe huwezi ielewa nairobi kw story za vijiweni
Huwezi kujua nchi zingine kwasababu hujatoka nje ya Kenya, Mimi huwa ninakuja Mara kwa Mara hapa Yaya Centre, hapo kuna ofisi za metala detectors, ninaijua vizuri sana Nairobi, haina tofauti yoyote na miji mingine ya Africa, zaidi ya insecurity.
 
Kwani uongo Kenya kachumbari inauzwa pekeyake hadi chumvi unauziwa
 
Umeskia wapi hapa afrika wakenya wamekamatwa kw wingi na kurudishwa makwao kw wingi km vile nynyi, wanaija, ethiopians e.t.c

Etc leo unataka kujitoa ufahamu na mwaka huu wamerudishwa kibao
Chizi wewe, Magufuli alipoingia madarakani tu, aliwafurusha wakenya kibao waliokua wakiishi Tanzania bila kufuata sheria, ndio mwanzo wa wakenya kuanza kumchukia.
 
Uwezi kukimbia nchi ya Asali na maziwa...katika kitu ambacho tunapata heshima duniani...ni kutokuzura duniani...wenzetu wananyanyasika sana huko nchi walizokimbilia.
 
En still hyo mitungi licha ya kuwa rahisi tz, lkn bado wengine wanaionea mitandaoni tu
Wewe ukifika tz lazima ukatae kurudi Kenya kama MK254 alivyo telekeza Mke na Watoto na kujificha tz, zamani wakenya walikuwa wanadhani sababu za wanaume wa Kenya kutorokea tz ni wasichana warembo tu kumbe gharama za maisha tz ni chini Mara 4 ya Kenya tena maisha tz yana uhakika kuliko Kenya
 
Ninyi c huwa hamuweki jiwe la msingi wala construction boards imekuwaje tena [emoji3][emoji3]
Nani alisema hatuweki jiwe la msingi? What I said was that we don`t usually put construction boards in "most" of our projects. Jiwe la msingi iko hadi ya Nairobi Expressway.
 
The progress of the Expressway. This is part of the expressway that joins Mombasa road to Syiokimau SGR station.
 
Sports projects in Kenya. Ongoing construction of Masinde Muliro stadium in Bungoma county.
 
Mpuuze huyo..tunamjua ni victim wa cheti fake.
 
I wish mgekua mnafuata mambo ya CCM kwa kina kama vile mnafuata mambo ya Kenya.
Tunawafatilia kwa sababu Njaa ikizidi sana huko Kunyaland itaongeza uvunjifu wa Amani kwenye ukanda wetu huo...kumbuka Tz ndo inapokea wakimbizi wengi kuliko nchi yoyote Africa,,tunapata wakati mgumu kudumisha Amani ya ukanda huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…