Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahahahahahaaaa mwiziiiiii komora096 njoo huku utuhakikishie km hii road ni ya Thika [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Better than hio ya Namibia
View attachment 1507770
Hahahaaa mmeona jamani watanzania Wakenya jinc walivyokuwa hawako fair, yn yuko ladhi apambane hata kama ni uongo alazimishe lkn Wakenya wenzie wanakausha but ingekuwa cc tayari Geza ulole wala asingeniacha angenichana mchana kweupe, so now u know what kind of battle we are battling, it's absolutely unfair battle.

Lkn na ww hyo road uliyoweka haiwez fikia hii kwa quality and impression.
 
Whaaaat??!!..unataka kutuaminisha kwamba kila bus ya matatu ina nauli yake?!..yaani kila owner wa matatu anapanga bei ya nauli aitakayo?!!

Duh it is failed state indeed
Ndivyo wanavy fanya ukikuta matatu iliyo pipiwa vizur na maflat screen ujue hata bei ni tofauti....wajinga sana hawa....
 
Kwani wewe @komora huku soma "sant slave schools" sikuoni ukitumia inglishiii hata siku moja
Kumbe inakuuma siku zote[emoji23][emoji23]
Tatizo KNEC wananifahamu, sasa sijui utaiweka wapi sura yako jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…