Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Hii ni barabara ya Thika hadi Kenol.
Hio blog unayoleta haijasema kuwa bara bara iko Namibia. Imetumia picha tu kama mfano wa dual carriage.

Hii ni barabara nafamu vizuri kwani ni ya kuelekea nyumbani.

Lakini nikasema tu nikuletee picha zingine ili unyamaze. Sawa?
 
😂😂🤣🤣🤣🤣

Anakuambia hiyo thika hai wei 😂😂🤣🤣 nikabaki nashangaa tangu lini thika ikawa na black road..ile enyewe thika si ni brown in colour?!!😂😀
Better than hio ya Namibia
 
Sijisumbui we kenge tu, nenda kaliwe kisamvu na wakenya wenzio kunguni wewe.
 
Bring the proof mpuuzi we.
 
Correct.
Blog unayoleta imetumia picha kama mfano wa dualcarriage way. Hawajasema kuwa hii ndio barabara halisi ya Namibia.

View attachment 1507735
Twende taratibu mana leo nakamata mwizi, haya km kweli hyo barabara ni ya Thika hebu niambie hyo road niliyo circle kwa blue ink inaenda wapi na inaitwaje [emoji116][emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…