The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Picha zngne huwa wanatuma humu kulazimisha kwamba ziko vibaya wkt wanajua znavutiaWe huon density ya magorofa ilivyo kubwa kuliko Nairobi?


Picha zngne huwa wanatuma humu kulazimisha kwamba ziko vibaya wkt wanajua znavutiaWe huon density ya magorofa ilivyo kubwa kuliko Nairobi?


Kuna kipindi huwa nawaza kuacha kushindana na Kenya maana ni weupe sana,debe tupu,hata wao wanajua kupitwa na Tanzania ni muda tu hasa kwa uelekeo tulioamua kuuchukua kwa sasa.Baada ya kuingia uchumi wa kipato cha kati hali yao ndo itakuwa taabani kabisa,maana sasa tutakuwa na uwezo wa kukopa zaidi na kufadhili miradi mikubwa ya kimkakati,pia wawekezaji watahamasika zaidi kuja kuwekeza Tanzania kwa maana ya soko la uhakika na infrastructures achia mbali mali ya asili tuliyobarikiwa na Mungu.Viko wazi inawauma kuona 99bil jidipi inauwez wa kufinance mrad wa 250 mill inakuwaje 63 bill GDP iwe n nguvu ya kufinance billions projects....anakuja n tatu city hapa km ushaidi![]()
![]()
![]()
![]()
Na miradi hiyo yote magu hajakanyaga ulaya kujipendekeza na kutia sura ya huruma kwa mabeberu,miradi yote pesa za ndaniSGR phase financed by gvt of tz 1.2b usd
SGR phase two 1.4b usd soft loan + 0.5b usd from gvt of tz = 1.9b
nyerere hydro electric power 3b usd financed by gvt
mtwara and tanga port expansion 500m usd financed by gvt
ndege za air tanzania over 1b usd financed by gvt if tanzania 11brand new aircrafts
So far you are talking out of anger. Me what I wanted you to accept you have already done. That Tanzania`s SGR is done by loan and that`s final.
wapo wazi pamoja mkuu👍👍Anha sawa mkuu nia yangu nii hyo funspot tu
Which Airport, That old and ugly JKIA?Yes. Nairobi has the highest building & skyline, economy, literacy, culture, infrastructure, airport, railway etc etc.. In East and Central Africa.
Ubongolalas wenyewe wanakuja kufanya kazi Nairobi kwa kishindo ili akirudi kwao awe na hela nyingi za madafu.
Kenyans go to Dubai, Europe, South Africa etc USA for higher paying jobs.
There's levels to this shit.
The kinda music stage you’ll never see in your cesspool country 😂😂😂😂 💉This looks like a temporary music platform.
Like a music stage that will be brought down after the show.
Msiniweke maneno kwenye mdomo....Mimi nimesema inafanana na githurai wala hapo hakuna tatizo loloteHii CBD Ni bomba kuliko Nairobi unabishia Uzoefu tu
Umechinja nyani wa kikenyaaaThe kinda music stage you’ll never see in your cesspool country![]()
View attachment 1498967View attachment 1498968View attachment 1498969






The kinda music stage you’ll never see in your cesspool country![]()
View attachment 1498967View attachment 1498968View attachment 1498969
Ni bilaaa tupu...


