Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,856
- 22,191
Wakenya mneanza lini kuvaa suti za kijamaa?
Unajua kuna vitu vingine ni kinyaa hata kujibu, hv kenya watengeneza boat km Kilimanjaro 3 hv kweli kabisa mtu unaweza kuongea uharo km huo??Yaani unamwamini Kenya ndio imetengeneza Kilimajaro 3? Ilienda tu repair.
View attachment 1499260
Watengenezaji wa Ferry za Azam ni wa Australia waliobobea.
View attachment 1499261
View attachment 1499262
ndio endelea kuokota uone kama utafanikiwa 😂😂😂😂😂😂 raha sana kucheza na akili zenuKwani ni mara yako ya kwanza ww kujichanganya?
Ona ulivyo fala, yn kwakuwa mnamuogopa Magufuli basi mnaona kila kitu ana mamlaka nacho, ss aliyekwambia Kilimanjaro ni za Magufuli ni nani?boss this project ni ya investor ni kama ile ya JKIA Expressway..government sai hawachukui loan
ni sawa basi but mbona msijitengenezee? magufuli trusts us thats why aliamua kuileta utengenzwe uku kenya..na pia further more akatupatia kazi nyingine kumtengenezea tag boats na water barge ,,,trust bado atakuja tu uku tumtengeneze zengine ikizidi according to the latest information naskia watch my space
Nahifadhi iwe kiboko kwako sasandio endelea kuokota uone kama utafanikiwaraha sana kucheza na akili zenu
The real density.
kiboko kwa nani 😂😂😂 haya tusubiri tuone basiNahifadhi iwe kiboko kwako sasa
OTE="Walker255, post: 35929835, member: 495817"]
What is promised Vs What is actually built. Kenya is the most accurate definition of mavi. View attachment 1499193View attachment 1499194



wewe jama hapa kuna kaukweli, lakini ata kama unaponda, weka mambo kikamilifu, nadhani hii picha ya train ya Morocco ni ya passenger na ile ya Kenya ni ya freight services, though ya freight inaweza tumika kuvuta passenger cabins, lakini hapa ulikua unalazimisha maoni na fikra zako

Tazama tofauti ya freight na ya passenger., though hainipendezi lakini not that bad altogether., 120km/h, in Africa is something, 80KM/h ya freight., nangoja kuona freight ya Tanzania na ya passenger zitakaa vipi., dont be quick to throw stones

kua mpole kaka, ata kama yetu ni sura mbaya, pia freight ya SA ni ugly pia



kweli iko na sura mbayaI can feel ur pain but that's reality, PSPF tower is the most beautiful building in EA and the sixth most beautiful building in Africa.Hapo hakuna building yoyote inaingia top twenty kwa beauty hapa Africa
Mkuu nilishakuambia tuyaache ona ushanivuruga sasa,crazy smoker ni tatizo



boss this project ni ya investor si si ya serikali these are investors and they are keen to make it successfull..the project ita itakua inform of PPP serikali ya ufaransa wame invest it will include both DMU and both EMU najua inakuuma kenya washaanza kujenga electric train na na pia BRT wamesema watajenga..wacha nikupe mhondo..ebu skiza hio news..listen carefull to this video till the end.. [/QUOTE]Kwahyo mnakubali kwmb cku hz kenya imeamua kuiga Tz kwa kila jambo, mana naona Kenyatta naye ameanza kujifanya anatuma wawakilishi tu hata kwenye hafla za kuapisha rais, ngj tuone kwny safari km ataweza kubaki nyumbani km mwalimu wake Magu.wewe jama hapa kuna kaukweli, lakini ata kama unaponda, weka mambo kikamilifu, nadhani hii picha ya train ya Morocco ni ya passenger na ile ya Kenya ni ya freight services, though ya freight inaweza tumika kuvuta passenger cabins, lakini hapa ulikua unalazimisha maoni na fikra zako
Tazama tofauti ya freight na ya passenger., though hainipendezi lakini not that bad altogether., 120km/h, in Africa is something, 80KM/h ya freight., nangoja kuona freight ya Tanzania na ya passenger zitakaa vipi., dont be quick to throw stones
kua mpole kaka, ata kama yetu ni sura mbaya, pia freight ya SA ni ugly pia
View attachment 1499357View attachment 1499359View attachment 1499361
Hivi wewe fala unadhani humu kuna mamburula kama wewekaka tulia tayari kenya imeshaanza kujenga reli za stima kando na HIO sgr mnayo idharau..kazi imeanza tayari ...https://businesstoday.co.ke/jkia-cbd-railway-line-kenya-france/...https://www.railwaygazette.com/traction-and-rolling-stock/nairobi-dmu-deal-signed/55931.article#:~:text=KENYA%3A%20The%20much%2Ddelayed%20contract,Balearic%20island%20on%20March%202.View attachment 1499185
Yaani unamwamini Kenya ndio imetengeneza Kilimajaro 3? Ilienda tu repair.
View attachment 1499260
Watengenezaji wa Ferry za Azam ni wa Australia waliobobea.
View attachment 1499261
View attachment 1499262
Wacheni mchezo. Wana deni kubwa kuliko. Leo wajenge reli nyingine.......kaka tulia tayari kenya imeshaanza kujenga reli za stima kando na HIO sgr mnayo idharau..kazi imeanza tayari ...https://businesstoday.co.ke/jkia-cbd-railway-line-kenya-france/...https://www.railwaygazette.com/traction-and-rolling-stock/nairobi-dmu-deal-signed/55931.article#:~:text=KENYA%3A%20The%20much%2Ddelayed%20contract,Balearic%20island%20on%20March%202.View attachment 1499185