Tanzania itazidi kunufaika sababu DRC ikitaka kuitumia bado Tanzania itakuepo kwenye mgao na South Sudan na wenyewe watakua tappedYes, I understand but you cannot say that you will benefit more than Ugana.
nikiwaza na kuwazua tunaweza kua tonatoka suti na wenye mafuta du!Tanzania itazidi kunufaika sababu DRC ikitaka kuitumia bado Tanzania itakuepo kwenye mgao na South Sudan na wenyewe watakua tapped
Nasema tunanufaika bila hustle ukilinganisha na Uganda.
sifa zirudi kwa aliyeikata tz,maana ukiangalia kwa makini ilikatwa kwa mkakati kabisa as if wengine walikiwa wamelala[emoji23][emoji23][emoji23].victoria 70%,tanganyika 50%,nyasa 35%kilimanjaro 99.9%,hindi 70% EA.nikiwaza na kuwazua tunaweza kua tonatoka suti na wenye mafuta du!
Mungu ibariki tanzania
Uganda have got 8 cities now, within three years they are planning to advance four more towns to city status 😝😝Pigeni tu kelele hapa wakati Uganda is making entire country to be a city 😂 😂
I think he is just joking about 🇺🇬Kwa hiyo tukusaidiaje?
Team domo vs team hapa kazi tuYes, I understand but you cannot say that you will benefit more than Ugana.
natural blessed...sifa zirudi kwa aliyeikata tz,maana ukiangalia kwa makini ilikatwa kwa mkakati kabisa as if wengine walikiwa wamelala[emoji23][emoji23][emoji23].victoria 70%,tanganyika 50%,nyasa 35%kilimanjaro 99.9%,hindi 70% EA.
wajerumani hao, walijua kutukatia pande letu la afrikasifa zirudi kwa aliyeikata tz,maana ukiangalia kwa makini ilikatwa kwa mkakati kabisa as if wengine walikiwa wamelala[emoji23][emoji23][emoji23].victoria 70%,tanganyika 50%,nyasa 35%kilimanjaro 99.9%,hindi 70% EA.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hili pigo= Konyagi iliyochanganywa na limao na Sumu ya nyoka [emoji23][emoji23]
Sudan gn unayoongelea, kuna Sudan yny mafuta na Sudan kavu so unazungumzia ipiUganda "may" get out of LDC once they start exporting oil. For Tz congratulations for your new status, but you can go back to LDC like Sudan if you are not careful.
Tz Ni karibia mara mbili kwa ukubwa lakini mnatukaribia kwa pop sasa jiulize nani anaezaliana sana?kwa ukubwa wa nchi yenu nilitegemea iwe 30M mmezidi sana 35MThere is a possibility. Remember your birth rate is much higher compared to your economic growth.
Hilo liliniacha hoiPigeni tu kelele hapa wakati Uganda is making entire country to be a city 😂 😂
Alright..lakin 100 ni understated sana....more likely to be above 500 direct jobsI`m talking about during the operation, not construction.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]m germany hakuchukua nchi nyingi africa kwa hyo ilibidi apewe nchi moja nzurisifa zirudi kwa aliyeikata tz,maana ukiangalia kwa makini ilikatwa kwa mkakati kabisa as if wengine walikiwa wamelala[emoji23][emoji23][emoji23].victoria 70%,tanganyika 50%,nyasa 35%kilimanjaro 99.9%,hindi 70% EA.
Good idea..i hope itafanyika in coming 3 years ..hata dar na znz zinahitaji cruise ship terminals ...lakini naona sio priority kwa sasaNaona sasa wakati umefika wa Bandari ya Mwanza kujengwa kisasa zaidi, kuwe na Berth ya abiria ambako kutakuwa na jengo la kisasa la abiria na luxury boats, kuwe na Berth maalumu ya Mizigo inayokwenda Nchi jirani na sehemu za kanda ya ziwa..yaan kiufupi ijengwe kma Bandari ya Dar-es-salaam lakini iweze ku accomodate abiria na mizigo ili tuiteke ziwa victoria yote with modernity and efficiency.
We jamaa bhn [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]sifa zirudi kwa aliyeikata tz,maana ukiangalia kwa makini ilikatwa kwa mkakati kabisa as if wengine walikiwa wamelala[emoji23][emoji23][emoji23].victoria 70%,tanganyika 50%,nyasa 35%kilimanjaro 99.9%,hindi 70% EA.
Kwn unadhani hajui hilo [emoji3][emoji3]Tz Ni karibia mara mbili kwa ukubwa lakini mnatukaribia kwa pop sasa jiulize nani anaezaliana sana?kwa ukubwa wa nchi yenu nilitegemea iwe 30M mmezidi sana 35M
Kitu kingine ni kwamba wastani as ongezeko la watu Tz Ni kati ya watu millioni 1.5 kwa mwaka wakati GDP inapanda kwa $5B or more kwa mwaka sasa hatuwez kushuka na kingine miradi ya kimaendeleo ambayo ndio inakaribia kikamilika itaongeza revenue na ajira rasmi nyingi moja kwa moja uchumi utapanda
Tena ilikuwa na eneo kubwa sana maana Rwanda na Burundi plus sehemu ya nothern Mozambique ilikuwa sehemu ya Deutsch OstAfrika (German East Africa) kabla ya uingereza kuimeiga na kuwagawia Wabeligiji (belgium) Rwanda na Burundi, Wareno kupewa sehemu ya kusini ya mto ruvuma (todays' nothern Mozambique)baada ya vita kuu ya kwanza ya dunia ambapo ujerumani ilishindwa na kunyang'anywa makoloni yake yote.sifa zirudi kwa aliyeikata tz,maana ukiangalia kwa makini ilikatwa kwa mkakati kabisa as if wengine walikiwa wamelala[emoji23][emoji23][emoji23].victoria 70%,tanganyika 50%,nyasa 35%kilimanjaro 99.9%,hindi 70% EA.