Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

afu mapato kidogo

Mass Tourism ni Majanga, Huwezi pata Hela ya maana. Imagine Wanaweza kuja Back packers Million moja ambao wengi ni Budget Tourists ( wengine wanabeba Vigodoro anakitandika popote panafaa) [emoji23] mpka hapo Hotel haipati chochote, Na serikali hata ile bed night levy wataisikia tu.

Lakini uki encourage vitu kama Eco Tourism, Na mambo ya Low density , High Quality , High Priced Tourist products kama Tanzania , hata wakija watalii Mia nne, unakuta kuna billion moja USD kwenye mapato.

Angalia tu rates za Hotel maeneo mbali mbali ndio utajua Tofauti.
 

Sure pia Kalambo falls, Katavi national park, lake Rukwa, Lake Tanganyika, Lake Ngosi n.k
 
Wakati uzi unaanza wazee wa msaada wa chakula walikuja kwa mbwembwe saiv hata mmoja haonekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…