Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Basi pigeni rangi hio National carrier yenuAir Tanzania. Air Kenya is doing even way better and has a larger fleet size yet It's just a small regional airline.
😀😀😀😀 kwenye rangi munakua wakali
 
Thika road estates have not been represented in this thread and it accounts for almost 50 percent of Nairobi residential areas. Anyone from Roysambu Githurai or kahawa to help out
 
We hujui any ata manyumba za London hazipakwi rangi kwa mawe
Shida yenu wakenya washamba sana. kila mzungu anafanya ati kweni ni supper. Poor Kenyans hivi nani kawaroga kiasi iki. Tumieni akili zenu achana na mentality ya kufanya vtu kwa kuwa London wanafanya hivyo jarbuni kuwa kma nyinyi stop that habit of ..............
 
And from which people does the whole tanzania draw its architecture inspiration from if not them,shut ur ignorance ,warogi nyinyi
 
We hujui any ata manyumba za London hazipakwi rangi kwa mawe

Hii ni moja ya majengo yaliyopo Nairobi ambayo unasema na London yapo ivi , naona shida kubwa ni humiliation mnayo pata kushindwa kujenga nyumba zenu wenyewe apo Nairobi na kuishi kwenye dormitory kama izi zinawafanya mna Changanyikiwa akili na dormitory zenyewe zipo chini ya kiwango zinaporomoka kila kukicha
 
Injinia fake ni hao wanaowajengea mabweni yanayoanguka spontaneously na kuua wakenya wasio na hatia

That building was never approved by the county government. sijui ni nini unasherehekea. ..it was marked for demolition long ago lakini mwenyewe akikuwa na court order ya kujikinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…