Molija
Senior Member
- Jun 1, 2020
- 135
- 166
ni wapuuzi sana














wanajenga vitu for fushion show ni upuuzi wa hali ya juu
ni wapuuzi sana














inasikitisha saanaSoma hii tweet kisha pitia reply zake kutoka kwa wakenya.
mchana kweupe aisee
.mporaji hua hawachagui sehemu ni popote hata nje ya ikulu😂😂😂Kilimani hiii hiii![]()
walinzi wenyewe vibaka tu 😂😂😂Angalia reaction ya Mlinzi, yaani huyo ndio mlinzi.
Kwn mkuu kitu kimeshaanza kumaliziwa au?Subiri BRT ipite hapo halafu na hiyo Mall ipo Open.
Kwn mkuu kitu kimeshaanza kumaliziwa au?
Dah aisee yn apo ikipita BRT my God niNaona movement ya lift naona kazi inaendelea. Lift ipo Busy sasa hivi mtaanza kuona vioo.


Hii itapaisha sn umaarufu wa Tanzanite na Tz mining industry kwa ujumla.
