Wacha zielemee US ..shida iko wapi na ni Kenya sio Tz inafanya ivyo.
Cha maana ni eti sisi kama Wakenya tunajua ni wapi ndo tumefaidika na urafiki wetu na America na tunaomba uendelee
kwahio unakubali kuwa US ndo wanafaidika zaidi?🤦🏽♂️🤦🏽♂️
watanzania someni afu mlete comments mseme ni nan anafaidika na hili deal!
link hii hapa
https://ustr.gov/sites/default/files/Summary_of_U.S.-Kenya_Negotiating_Objectives.pdf



